Kunawakati una pewa sare katika harusi, lakini kuna wale wengine ambao wanapenda kuwa unique japo avae sare lakini kuwe na kitu cha tofauti katika vazi lake. Mara nyingi kwetu wa Tanzania sare huwa kitenge na leo tunakuletea mishono ambayo unaweza kushona na kuongezea kitenge na ukaonekana unique. Mishono inatoka kwa mwanamuziki kutoka South Africa Nhlanhla Nciza
Kama unapenda rangi za ku-shout unaweza kuvaa colorful na kuongezea touch’s za kitenge kama ambavyo Nhlanhla amefanya lakini hapa inabidi uwe muangalifu na rangi usije kuonekana too much
Kama kuna ambacho tumejifunza ni kwamba Nhlanhla ana chukua rangi moja iliyopo kwenye kitenge na kuifanya iwe ndio rangi ya vazi lake lote huku kitenge akikipa nafasi kidogo sana, kingine ni accessories kama vazi lime stand out accessory zake huwa simple.
Unaweza pia ukaamua kutumia sare yako kama kiremba na zio kuongezea kwenye vazi lako na ikapendeza
Hii inaweza kuvaliwa kama wedding guest, reception dress au hata kitchen party dress.
Mavazi yake yametoka katika clothing line yake ya Nhlanhla Sciza
Makeup @makeupbymasabu
Hair and nails @hairbychichi
Eyelashes @glamourpussbypamela
Wardrobe assistant @cedrictn@naledi_manjoro
Photography @stillsbytom
Location @morrells_boutique_estate
#MordenAfricanQueens
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 48905 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-4-ambazo-unaweza-kuongeza-kitenge-katika-mishono-ya-harusi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-4-ambazo-unaweza-kuongeza-kitenge-katika-mishono-ya-harusi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-4-ambazo-unaweza-kuongeza-kitenge-katika-mishono-ya-harusi/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-4-ambazo-unaweza-kuongeza-kitenge-katika-mishono-ya-harusi/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-4-ambazo-unaweza-kuongeza-kitenge-katika-mishono-ya-harusi/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-4-ambazo-unaweza-kuongeza-kitenge-katika-mishono-ya-harusi/ […]