SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna 4 Za Kuvaa Sneakers Ofisini
Mitindo

Namna 4 Za Kuvaa Sneakers Ofisini 

Kwa hizi mvua zinazo endelea kama kunakitu amabcho huwa kinaumiza kichwa ni uvae kiatu gani kazini, as we all know heels na matope haviendani. Kuna viatu vingi vya kuvaa ambavyo ni flats lakini na hii mvua viatu ambavyo vinaweza kukabiliana na tope hasa ni sneakers.

Wengi wanajiuliza ni vipi utavaa sneakers kazini? Hapa kuna mambo matatu ya kuzingatia

 • Nature ya kazi yako
 • office dress code
 • what you pair with

Kama nature ya kazi yako hairuhusu kuvaa sneakers basi usivae, na kama katika dress code ya ofisini kwenu hawaruhusu sneakers basi usivae pia lakini pia nini utavaa na hizo sneakers kumbuka ni kazini kwaio jaribu kufanya muonekano wako uwe kiofisini na sio too casual.

Sneakers With Suit – Kama ume notice Fashionista’s wengi sasa hivi wanavaa sneakers na suit, na zinapendeza sana unachotakiwa kufanya ni kutafuta neutral color suit ambayo uta ivalia na top ambayo inaendana na rangi ya suit kidogo na yenyewe iwe official usivae na T-shirt. Halafu vaa na sneakers za rangi uipendayo lakini prefereble ni zile ambazo zina rangi iliyo tulia na sio zile lenye rangi nyingi nyingi.

Sneakers With Pencil Skirt – a pencil skirt is office wear essential, unaweza kuvaa pencil skirt yako na botton down shirt ukimalizia na sneakers na handbag.

Sneakers With A Dress – Japo wengi huwa wanapinga hili vazi kwetu ni our favorite, sneakers with a dress looks stylish. Kama unavaa kazini unaweza kutafuta color zinazo fanana kama nude sneakers na nude dress lakini pia unaweza kuvaa upendavyo, kumbuka kuongezea accessories kama blazer, statement necklace au saa to make it look more official.

Sneakers Na Corporate Trouser Na Shirt – Kama ni mpenzi wa suruali unaweza kustyle sneakers zako na suruali yako ya kitambaa, na button up shirt. Suruali itakuwa vizuri kama ikiwe well fitted chini isiwe bwanga

Kama utajaribu kuvaa sneakers kazini husisite kututag katika mitandao yetu ya kijamii

 

 

 

Related posts

6 Comments

 1. buy ephedra sinica

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-4-za-kuvaa-sneakers-ofisini/ […]

 2. 다시보기

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-4-za-kuvaa-sneakers-ofisini/ […]

 3. magic mushrooms colorado​

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-4-za-kuvaa-sneakers-ofisini/ […]

 4. cartel oil gummies

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-4-za-kuvaa-sneakers-ofisini/ […]

 5. this article

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-4-za-kuvaa-sneakers-ofisini/ […]

 6. Dnabet

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-4-za-kuvaa-sneakers-ofisini/ […]

Comments are closed.