Gucci, Channel, Fendi for what? Move over sababu kitenge kimeanza kuchukua nafasi once again,na fashionista’s kutoka sehemu mbalimbali wanatuonyesha umahiri wao wa ku-slay mishono hii ya kitenge
Muigizaji na fashionista kutoka Ghana, Nana Akua Addo tulim-spot akiwa katika hii kitenge jumpsuit ambayo tumependa jinsi ilivyo kuwa unique, layered kitenge kilivyopangwa vizuri, and the trumpet sleeves to make a statement yeye amemalizia muonekano wake na rasta za vitunguu, miwani na clear heels na tiny handbag.
Mtangazaji kutoka South Africa Pearl Modiadie yeye tulimuona akiwa katika hii mixed prints layered mermaid dress, ambapo alikuwa akihost katika #saftas13 kama una sherehe hivi karibuni na sare ni kitenge, huu mshono ni perfect kwa such event.
Tv presenter & designer kutoka Nigeria, Adeaga Bukunmi yeye ametupa all shades of slayage in this print mixing look, body snatched, mshono on point, well styled she just showed up and showed out in this kitenge look, we love.
Afromates mshono upi umekuvutia zaidi?
Related posts
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…