Animal print ni vile vitambaa ambavyo vimekuwa inspired na ngozi ya wanyama, kama chui, zebra, nyoka na wengine wengi, mavazi haya yalianza toka zamani ambapo miaka hio wanyama walikuwa wakiuliwa kwenye na ngozi yake kuchukuliwa na kutengenezea mavazi, ambapo ulikuwa ukivaa animal print unaonekana mtu mwenye uwezo mkubwa, tofauti na sasa ambapo vitambaa huchukuliwa zinakuwa printed tu kwenye canvas na kitambaa kinatokea.

Trend hii imeonekana kutumiwa sana na kina dada, wanaume wachache wameonekana kuvaa animal print,hizi ni tips ambazo tumewaandalia namna ambavyo mwanaume anaweza kuvaa animap print trend

  • As A Statement Long Coat

Kama ambavyo tunamuona hapo Nigerian fine man, Ebuka amevaa all back outfit ambapo juu ameongezea hii long coat snake print coat iliyoongezea chachu katika muonekano wake, as you can see the black outfit ilikuwa kawaida na coat ndio imeleta statement na kufanya outfit i-stand out.

  • A little glimpse of it

Kama si mpenzi wa kuwa umevaa a full animal print cloth unaweza kuwa kama Juma Jux hapo chini, ambapo yeye amevaa coat yenye touch’s za animal print shingoni na mikononi, sometime less is more.

A Dare

kama wewe unapenda ku-dare basi go full kama Cyrill Kamikaze, yeye amevaa leopard print shirt, amemalizia na suruali nyeusi, viatu vyeusi na miwani, so stylish.

Lakini pia unaweza kuvaa kama accessories,unaweza kuvaa kama viatu, kofia, miwani, scarf na ukapendeza na kuwa on trend,

Kama utajaribu trend hii usisite kutu-tag katika accounts zetu kwenye mitandao ya kijamii