Kutokana na gonjwa la Corona kwa sasa event nyingi zinafanyika zikiwa zinahudhuriwa na wageni wachache, wengi wanakuwa majumbani. Lakini hii haiwazuii wengi kuvaa na ku-post katika mitandao ya kijamii kuonyesha kama wange hudhuria basi hilo ndio vazi wangelivaa.
Well moja kati ya watu maarufu ambao wameonekana kutuvutia sana na mavazi yake katika hii Virtual Red Carpet system ni Regina King. Regina King ni muigizaji na ana miaka 50 kwa sasa. She eats every virtual red carpet look, na hizi ni baadhi tu ya ambazo tumeziona zikatuvutia mno.
Hizi ni looks ambazo ameonekana nazo hivi karibu katika virtual red carpet ya NAACPImageAwards ambapo alivaa dress kutoka kwa Oscar De Larenta.
Look ya katikati amevalia orange dress kutoka kwa mbunifu christopherjohnrogers kwenye Costume Designers GuildAwards, Na mwisho nyeusi ni kutoka kwa mbunifu Louis Vuitton katika Golden Globes, well #afromates ipi imekuvutia zaidi?
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 87313 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ambavyo-regina-king-ana-slay-virtual-red-carpets/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 21249 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ambavyo-regina-king-ana-slay-virtual-red-carpets/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ambavyo-regina-king-ana-slay-virtual-red-carpets/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ambavyo-regina-king-ana-slay-virtual-red-carpets/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ambavyo-regina-king-ana-slay-virtual-red-carpets/ […]