Christmas hii ilipambwa hasa, watu maarufu wengi walionekana kufanya photoshoot zenye theme ya rangi za Christmas ambazo ni kijani na nyekundu lets say most of them nailed their look.

Makeup Artist Lavie Makeup pamoja na Gladyz Shao
wao walikua in sequin red dresses zilizowakaa vizuri sana kutoka kwa mbunifu @kenny_the_brand
Fahvanny na yeye alikuwa in full red look
Noel Ndale looked sharp in black and white with a dash of red & gold
Rio Paul
Kim Kardashian
Kylie Jenner