SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Watu Maarufu Walivyo Slay Katika Taifa Stars vs Uganda Crane Football Game
Mitindo

Namna Watu Maarufu Walivyo Slay Katika Taifa Stars vs Uganda Crane Football Game 

Ukiachana na ushindi pamoja na kushushwa bei kwa vinywaji kwa baadhi ya sehemu, moja ya kiburudisho kikubwa ambacho sisi tuli-enjoy nacho ni kuona namna ambavyo watu maarufu wame style mavazi yao pamoja na jersey za Taifa Stars, wengi wao walipendeza na kuitendea haki jersey wengi walivaa jersey hii na jeans kitu ambacho kilikuwa perfect ukizingatia uwanjani vurugu jeans inakupa u-comfortability wa kukimbia, kucheza na kushangilia

Juma Jux & Shetta, Shetta yeye alivaa simple tu jeans, kicks na jersey wakati Juma Jux spice up muonekano wake na durag pamoja na chain, Juma tukupe tip kwenye sehemu kama hizi hizi chain jaribu kuzipumzisha nyumbani  unless otherwise una ma-body guard.

Irene yeye alivaa the jersey na ripped jeans akamalizia na yellow kicks ambazo zili match na rangi ya jersey, dope.

Jokate Mwegelo yeye alivaa hii jersey na gray skin jeans amemalizia muonekano wake na gucci embellished shoes, kama ni sisi tungetoa hivi viatu na kumvalisha black au white shoes.

Irene Uwoya gave us that casual slayage, shoes on point, ripped gray jeans so fashionable she added mkanda na akachomekea, thats how you wear a jersey and make it look chic.

Hamisa Mobetto yeye alichagua kuvaa jersey yake na denim overall, we love that amesukia rasta, the hair added value kwenye muonekano wake, tumependa pia her simple makeup.

Malika Designer alivaa jersey yake ya rangi nyeusi, amemaliza muonekano wake na white skin jeans, kicks zinazoendana rangi na jersey akamalizia na miwani na accessory ndogndogo.

Mboni alivaa jersey ya blue na washed blue skin jeans amemalizia muonekano wake na belt nyeusi, viatu vya njano pamoja na wimani na side bag.

Wengi walipendeza, japo we have few tips kama next time wataenda kwenye football games

  • Usivae accessories za gharama sote tunajua sehemu kama zile wezi wengi
  • achana handbag nyumbani na vaa fanny pack ni ngumu mtu kukuvua fanny pack kuliko kupora handbag
  • simple makeup zinaruhusiwa
  • as much as we love jeans unaweza kuwa wa tofauti kwa kuvaa pants au biker shorts just to be fashionable.

Related posts

1 Comment

  1. buy prime drink

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-watu-maarufu-walivyo-slay-katika-taifa-stars-vs-uganda-crane-football-game/ […]

Comments are closed.