SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Watu Maarufu Walivyonogesha Remba La Kitenge Na Makeup Zao
Mitindo

Namna Watu Maarufu Walivyonogesha Remba La Kitenge Na Makeup Zao 

Wengi wetu huwatunapenda kuvaa viremba katika sherehe mbalimbali, lakini si kwamba tu hutumika katika sherehe unaweza kuvaa ofisini au hata katika shughuli zako za kawaida za kila siku. Katika pitapita zetu tumekutana na baadhi ya watu maarufu wakiwa wamevalia viremba vya kitenge na kuvinogesha vizuri kwa make up zao nzuri na namna walivyo accessorize, kama una sherehe au ungependa kuvaa remba la kitenge unaweza kupata idea za namna unaweza kulinogesha kama ambavyo watu maarufu hawa wamefanya.

Tumemuona mwanamitindo Batuli Mohammed ambae yeye alifunga kiremba chake cha kitenge na akanogesha na makeup nzuri pamoja na ombre pink lipstick.

Wakati pia tulimuona mwanadada Toke Makinwa akiwa amevalia remba lake la kitenge akamalizia na nude makeup huku akiwa ame-accessorize muonekano wake na statement gold necklace

Mwanadada Zamaradi Mketema yeye alivaa remba lake akiwa amemalizia ana smoke eyes, mude lips na yellow beaded necklace

Muna Love yeye alitu serve hili remba na gold and pink eye shadow akamalizia na burgundy lipstick huku akiwa ana drip in gold accessories

well we hope umepata ideas za kunogesha remba lako next time ukivaa kiremba cha kitenge

Related posts

2 Comments

  1. glock 19 for sale

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-watu-maarufu-walivyonogesha-remba-la-kitenge-na-makeup-zao/ […]

  2. 토렌트 다운

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-watu-maarufu-walivyonogesha-remba-la-kitenge-na-makeup-zao/ […]

Comments are closed.