Kama huna hivi viatu, fanya haraka kanunue. Gladiator sandals sio tu stylish ila zina weza kukufanya uonekane sexy pia ni comfortable and nyepesi. una weza kuvaa muda wowote iwe night look au mchana. hizi ni namna ambavyo una weza ku style viatu hivi

Gladiator sandals na short dresses una weza kuvaa mchana katika matembezi (beach) au usiku movie date

gladiator-1 gladiator-3-600x900 Gladiator-Sandals-Outfits-1

Una weza kuvaa gladiator sandals na short pants

17.-gladiator-600x900 76.-gladiator-sandals-600x900 Gladiator-Sandals-Trend4-600x901

mtoko wa mchana gladiator sandals na skin jeans

Tall-Gladiator-Sandals-over-Jeans