SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Ku-style Sare Zako Za Kazini
Mitindo

Namna Ya Ku-style Sare Zako Za Kazini 

Sote tunawatamani wale ambao hawana sare za kazi, truth be told kuwa na sare kazini kunaweza kukufanya uwe mvivu kwenye kuzi-style na wengi tunachukia sare za ofisini kwa sababu hio, kila mtu anazivaa zinakuwa boring & basic. Lakini huitaji kuwa hivyo tena unaweza kupendeza na ku-uprade sare za kazini kwa kufanya haya

  • Fit Matters

Ofisi nyingi huwa wanauliza tu unavaa size gani wanakuletea, hawachukui vipimo unaweza kukuta sare inakuwa kubwa au ndogo hakikisha unapata kila unachostahili “ushauri wetu kabla hatujaendelea kama unavaa small waambie medium ili upate nafasi ya kufanya marekebisho” ni bora uletewe kubwa maana utaweza kuipeleka kwa fundi uipunguze utakavyo, hakikisha inakufit vizuri as we always say “fit matters”

  • Focus On What You Can Control

Sare tayari zipo pale huwezi kuzibadilisha, huwezi kuzibadilisha zikaonekana kivingine unachotakiwa kufanya ni ku-focus na kile ambacho unaweza ku-control vitu kama

  1. Nywele, Make up & Kucha

Hakikisha muonekano wako wa nywele, make up na kucha upo vizuri, sio kwa sababu unavaa sare basi hivi navyo unavisahau. Vitu hivi vinaweza ku-upgrade muonekano wako na watu wakasahau kama umevaa sare kama wengine.

2. Accessories

Yes spice it up ongezea accessories kwenye muonekano wako mfano: handbags, cover up, blazer, belt, scarf’s etc hivi vyote vinaweza kufanya muonekano basic kuwa boujee na kukufanya u-stand out.

3. Jewelries

Ongezea urembo kama vaa hereni ambazo ni formal lakini pia zina draw attention, saa, mkufu, pete ect vitu vidogo vidogo kama hivi vinaweza kuuongezea chachu muonekano wako na kufanya uipende sare yako ya kazini, mfano mzuri wa kuuangalia ni air hostess hawa wengi huwa wanajua nini cha kufanya na uniform zao, wanazi-pimp mpaka unatamani na wewe ungekua unavaa sare kazini kwako.

4. Viatu

hatujaongeza viatu kwenye accessories sababu hivi ni muhimu sana, unapovaa uniform kama utataka kui-upgrade hakikisha unavaa kiatu ambacho kitaondoa attention kwenye sare na kuweka attention kwake, hataka kisipokuwa ghali lakini kiwe na rangi nzuri, kisafi sio tu utakuwa ume upgrade muonekano wako bali pia utaonekana smart.

Related posts

2 Comments

  1. browse this site

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-ku-style-sare-zako-za-kazini/ […]

  2. important site

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-ku-style-sare-zako-za-kazini/ […]

Comments are closed.