Inawezekana una fanya kazi hadi weekend, na una shindwa uvae nini ili uweze kwenda kazini na pia ukitoka kazini uende kwenye mitoko yako kama kawaida bila kuonekana official. Hii huwaga ngumu sana lakini leo tuna kuonyesha namna ambavyo una weza kuifanya outfit iwe multi-task
shift dress
una weza kuifanya iwe malti task kwa kupunguza baadhi ya vitu vya mchana na kuongezea baadhi ya vitu kwa ajili ya usiku, toa koti, saa na pochi kubwa halafu ongezea statement chain, kimkoba kidogo na open heels.
Pencil Skirt
punguza blazer saa na accessory za mchana na ongeza accessory za usiku kama uonavyo kwenye picha
Printed pants
haihitaji nguvu nyingi toa shati bakia na kata mikono, acha pochi beba kinai nai na badilisha viatu.
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 10642 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-ku-switch-outfit-mchana-kuwa-usiku/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-ku-switch-outfit-mchana-kuwa-usiku/ […]