SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Kufanya Endapo Shati Lako Linaacha Uwazi Kifuani
Mitindo

Namna Ya Kufanya Endapo Shati Lako Linaacha Uwazi Kifuani 

una shirt, gauni au chochote ambacho unakipenda lakini unapatwa na tatizo la kutokufunga vyema, yaani vifungo vinafunga ila kuna nafasi inaachia na kusababisha usiwe comfortable na vile vya ndani kuonekana

Wengi wetu tumezoea njia moja ambayo ni kufunga na pin sehemu ambayo imeachia lakini kuna njia mbalimbali nzuri ambazo zinaweza kukusaidia

  • Tumia Brooch

Brooch ni namna nyingine unaweza kutumia endapo utapatwa na tatizo hili sio tu itasaidia kuziba sehemu husika bali pia inasaidia kuinua vazi lako.

  • Tumia Double Stick Tape

Kuna tape ambazo zinagundi pande zote mbili, hizi tape zinaweza kukusaidia unapokutwa na tatizo hili, bandika tape yako vyema na utapata muonekano mzuri.

  • Snap Buttons ( Vifungo vya chawa)

Njia nyingine nzuri na ya kudumu nikushonea vifungo vya chawa, hii haito fanya tu uondokane natatizo kwa wakati huo bali litakuwa ni suluhisho la kudumu.

Tunatumai umetoka na kitu kutoka kwenye andiko hili, keep on slaying.

Related posts