Kama kuna tabia ambayo unatakiwa kuwanayo ni kununua mavazi ya mtumba, sio tu pamoja na kwamba mavazi haya ni bei rahisi lakini pia mtumba una utofauti wake. Japo na sifa zote hizo kwa sababu mavazi haya yanakuwa wameshavaliwa wengi wetu tunashindwa kuya upgrade yaonekane expensive as they should,

leo tunakuletea tips chache za nini ufanye endapo wewe ni mpenzi wa mavazi ya mtumba na ungependa muonekano wako uwe wa tofauti.

  • Wakati wa manunuzi angalia ubora wa kitambaa¬†

Nguo kadhaa za mtumba huwa zimechuja rangi au kunyonyoka nyuzi. Ubora wa kitambaa huchangia sana kwenye muonekano wako. Kitambaa kizuri kitafanya uonekane ghari wakati nguo yenye kitambaa kichovu itafanya uonekane cheap. Bila kujali bei kuna material huonekana za bei chee, hata kama ukweli ni kwamba inagharimu mfano ni baadhi ya satin, zaidi ikiwa imeshonwa vibaya.

  • Pair with high-quality basics.

A high quality basic will elevate your look instantly, kama unavaa vintage skirt unaweza kuvalia na white tee yenye quality nzuri, kama ni t-shirt na jeans unaweza kuongezea na blazer juu, ikiwa ni gauni la mtumba ongezea nice high heels shoes, adding small things kama a good leather handbag inaweza kuinua muonekano wako from basic to boujiee.

5 Wardrobe Essentials You Should Own

  • Accessorize¬†

Kila siku huwa tuna insist kwenye ku-accessorize, ni moja ya njia ambazo hufanya muonekano wako sio tu kuwa upgraded lakini pia uonekane stylish, ongezea vitu kama saa, bracelet, statement necklace, vaa hereni n.k hii vitu hivi vitabeba sana muonekano wako, na kuonekana ume spend more hata ya kile ulicho kitumia, wakati mwingine watu kusahau au kutokujua umevaa mavazi ya mtumba.

Most of fashionistas wanavaa mtumba lakini ni namna ambavyo wanavaa mavazi haya hutufanya tujiulize wapi wamenunua, au kuhisi wame gharamia sana katika mionekano yao lakini kumbe wameongeza tu vitu vidogo vidogo,jaribu kufuata tips hizi & tuambie kama zimekusaidia au lah, kama unatips nyingine share na sisi kupitia acc zetu za mitandao ya kijamii