SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Kuficha Tumbo
Mitindo

Namna Ya Kuficha Tumbo 

Wanawake wengi huwa wanasema wanashindwa kuvaa mavazi ya aina fulani kwa sababu ya matumbo yao kuwa makubwa. Wengine huchagua kuvaa namna fulani ya mavazi kila siku kwa sababu tu wanahisi hayo ndiyo yanayowafaa na kuficha matumbo yao, okay lets say madira na vitenge ndiyo vinavaliwa hasa kwa wale ambao wanahisi matumbo yao makubwa.

Leo tumewaletea utatuzi na sio diet wala mazoezi bali ni tips za nini ufanye kuficha tumbo lako,

  • High Waist Clothes

Hizi wengi wanazikimbia wakidhani zitawaonyesha tumbo lao, quite the opposite high waist clothes zinasaidia kulipa umbo lako proportion na kuficha tumbo lako. Wengi wenye matumbo wanakuwa wembamba katikati ya tumbo na maziwa ukiweza kupa-highlight hapa basi you won.

  • The Right Undergarment

Hii ni kwa kila umbo unacho vaa ndani ndicho ambacho kita display nje, kwenye right under garments unaweza kuvaa ndani high waist underwear ukavaa na gauni lako nje ikakushape vyema lakini pia kuna vitu kama shape wear au corsets na zikakupa muonekano sahihi

  • Peplum Tops / Dresses / Belt

Hizi ni tops, dresses au belts ambazo zimechanua kwa chini, hizi zinakupa proportion juu na kuficha tumbo lako kutokana na uchanuaji wake wa chini, kama unatumbo kubwa na huna vazi la aina hii kwenye kabati lako tunakushauri ukalitafute. Belts are the best kwa sababu unaweza kuivalia na kitu chochote na popote, kama unapenda nguo za kubana then hii ni suluhisho lako.

  • Shift Dresses / Loose Dresses

Tunaposema loose dress hatumaanishi liwe loose au kubwa kuliko size yako litazidi kuonyesha kwamba umnene sana unacho hitaji ni lose yet fitted dress, ambayo inakukaa vyema mwilini. Iwe loose kama Inch moja au tatu isizidi hapo.

Well ni matumaini yetu tumekusaidia katika nini uvae endapo una tumbo kubwa.

Related posts

5 Comments

  1. mental health services bergen county nj

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kuficha-tumbo/ […]

  2. get car shipped

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kuficha-tumbo/ […]

  3. 토렌트

    … [Trackback]

    […] Here you will find 25522 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kuficha-tumbo/ […]

  4. this hyperlink

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kuficha-tumbo/ […]

  5. look what i found

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kuficha-tumbo/ […]

Comments are closed.