SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Kuonekana Classy & Elegant Ofisini
Mitindo

Namna Ya Kuonekana Classy & Elegant Ofisini 

Ladies wewe ni mmoja kati ya wale ambao unajitahidi sana kazini uonekane elegant na classy lakini unaona bado haujafanikiwa? Inawezekana kuna vitu vidogo vidogo una miss katika mionekano yako.
Leo tunakuletea tips zinazoweza kukusaidia uonekane classy na elegant

Fitted outfits / Right Materials

Hakikisha nguo zako zinakutosha vyema, zisikuachie wala kukubana sana lakini pia zisiwe zina expose mwili kwa kiasi kikubwa hakikisha kama vazi ni fupi basi sio ufupi wa kupitiliza. Pia material ya vazi yawe mazuri sio material ambayo labda hayapigiki pasi au material yame isha makesure hata kama ni ya bei rahisi basi yana ahueni

Color combination

dont be too shout or too dark, hakikisha una balance rangi za mavazi yako kama ambavyo una balance shobo, mavazi yasi-shout sana ukaonekana unapiga kelele wala yasiwe too dark ukashindwa kuonekana, kama utavaa vazi lina shout juu basi chini vaa dark and vice versa

Classy shoes & handbags

Viatu na handbag yako hakikisha ni vizuri na vinaendana na mazingira ya kazini, sio unavaa viatu vya club ofisini au bag ya clinic kazini makesure viatu visafi, vinakutosha vyema sio lazima viwe virefu. Medium handbag yenye quality and rangi nzuri.

Classic Accessories / Smell Good

Hakikisha unavaa accessoriea classy mfano chain, saa, hereni za size ndogo usivae mkufu una kidani kikubwa kama cha zuchu ofisini kama ni kidani kiwe cha size ya kati na kiwe kina maneno au art work nzuri, pia nukia vyema scent yako isiwaboe wengine kwa kunikia sana wala isinuke

Minimal Makeup/Right Hair Style
Makeup yako iwe simple tu ya day makeup usipake makeup kama unaenda kwenye event simple touchs a good lipstick your good nnywele iwe nzuri hata kama ni natural hair hakikisha umechana au imesukwa vyema


Tukutakie Week Njema Keep Slaying & Keep Winning’

Related posts

2 Comments

  1. เว็บตรง betclic88

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kuonekana-classy-elegant-ofisini/ […]

  2. คาสิโนออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kuonekana-classy-elegant-ofisini/ […]

Comments are closed.