Ni nadra sana kumkuta mwanaume amevaa mavazi ya rangi rangi kwa sababu tu wanahisi labda rangi rangi zimekaa kisichana lakini je kweli rangi zinausichana na uvulana? au ni kwa sababu mtoto wa kiume ana valishwa blue na wa kike anavaa pink basi tukalili maisha yetu yote? hapana right unaweza kuwa mwanaume na ukavaa rangi rangi bila kupoteze asili ya uanaume wako.
leo wakati tupo mizururoni tukakutana na Men Fashion Blogger Norris Danta Ford, ambae yeye amesomea business marketing lakini ame angukia kkatika fashion wanasema do what you love si ndio? Norris yupo tofauti na wanaume wengine yeye anavaa sana rangi na hiki ndicho kilicho tuvutia kutoka kwake.
Kitu cha kwanza tume notice kutoka kwa Norris ni Floral colorful shirts, ana weza kuvaa rang zilizo tulia chini lakini akaja kuongezea rangi kwa kuvaa haya ma-shirt
Cha pili ni colorful socks,blazer ama kizibao kitu kimoja tu chenye kucutia kinaweza kubadilisha muonekano wako kutoka 0-90, kwa mwanaume mwingine angevaa tu shirt na suruali zinazo endana rangi angependeza lakini kusinge kuwa na jipya lakini kwa Norris lazima utavunja shingo kwa kumuangalia kutokana na yeye kuongezea hizi colorful touch’s
Kingine ni kumix rangi unaweza kuona hapo chini amevaa purple, nyekundu na socksi za njano kujaribu hili tafuta rangi ambazo zina pop lakini sio saana
Black & white na light brown touchs.
unaweza kumtafuta kwenye blog yake norridantaford.com au kumfollow instagram @norrisdantaford
Kusoma Tips nyingine kuhusu namna ya ku-upgrade muonekano wako (men version) click hapa
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kuongezea-rangi-katika-mtoko-wako-men-vesrion-by-norris-danta-ford/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kuongezea-rangi-katika-mtoko-wako-men-vesrion-by-norris-danta-ford/ […]