SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Kupata Great Cleavage Kwa Kutumia Duct Tape
AfroTipAndTricks

Namna Ya Kupata Great Cleavage Kwa Kutumia Duct Tape 

Wengi tumekuwa tukijiuliza watu maarufu huwa wanafanya kitu gani pale ambapo wanavaa mavazi yenye kuonyesha kifua ( cleavage), “My Red Carpet Cleavage Secret” As Kim Kardashian said.

Siri ya kupata muonekano huu ni ” Duct Tape” zile tape za kufungia mizigo, kwetu sisi tungekushauri utumie Duct tape za surgical tape ( Medical Tape) sababu kwanza zinagundi nzuri unaweza kukaa nazo muda mrefu bila kuchomoka, lakini pia hazitelezi kwenye nguo. Japo sasa hivi zipo ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya hii kazi lakini ni kazi kuzipata kama una shida ya haraka basi hizi medical tape zinaweza kukusaidia.

Onyo: kama utatumia medical tape ambayo imekuwa designed kwa ajili ya ngozi ku-untape itauma kwahio kuwa muangalifu wakati wa kuivua ikibidi iogee au imwagie maji ilainike kwanza ndio utoe.

Je unafanyaje kutape maziwa yako?

kama unavaa nguo ambayo inamikono hii ni namna njema ya kutape maziwa yako, ikiwa zilizoenda juu zinanyanyua maziwa wakati tape zilizo lala zina boost juu na kuyapa muonekano mzuri.

Kama utavaa vazi ambalo halina mikono basi namna hii ya ku-tape itakuwa sawia kufanya maziwa yako yakae bila usumbufu na kuyapa muonekano mzuri.

Related posts

2 Comments

  1. เป็นหนองใน

    … [Trackback]

    […] There you will find 2341 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kupata-great-cleavage-kwa-kutumia-duct-tape/ […]

  2. ทัวร์หลีเป๊ะ

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kupata-great-cleavage-kwa-kutumia-duct-tape/ […]

Comments are closed.