SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Kuslay Kama Bi Harusi Bila Ya Kufilisika
Mitindo

Namna Ya Kuslay Kama Bi Harusi Bila Ya Kufilisika 

Unaolewa hivi karibuni na una stress za uvae nini bado hujapata pesa za ukumbi, vyakula,vinywaji etc. Well unaweza kupendeza ukiwa katika budget ambayo haiumizi sana.

  • Jaribu Kutumia Wabunifu Wapya

Ikiwa wabunifu ndio wanaanza bei zao huwa reasonable hataki faida kubwa yeye anachojali afanye kazi nzuri ili aweze kupata refference ya kazi yake. Muhimu ni kuangalia kama yuko vizuri asije kukuharibia shughuli.

  • Jaribu Kukodisha/Kutumia Gauni La Ndugu Yako La Zamani

Namna nzuri ya ku-save pesa kwenye gauni ni kukodisha au kutumia vazi la mtu mwingine aliyelivaa miaka ya nyuma, hii hutumiwa zaidi na wazungu mama anaweza kumpa mwanae gauni lakini akalimodify kwa bei rahisi na kulifanya lionekane la kisasa zaidi na kuwa na touch’s zake.

  • Kuwa Creative

Huitaji kubadilisha magauni, unaona hawa watu maarufu wanavaa magauni matatu manne kwenye harusi zao na wewe ukataka, wenzetu mara nyingi huwa wanakuwa sponsored inamaanisha designer anampa mavazi ili amtangazie sisi tunanunua, all you need ni kuwa creative kunahizi detached dress unaweza kuvaa na skirt kwenye ndoa ukavua, unaweza kuwa na sleeveless dress kwenye ndoa ukavaa na kiji-jacket kujifunika harusini ukavua etc etc.

  • Makeup

Makeup kama ambavyo tumeshauri kwa designer unaweza kujaribu makeup artist anae chipukia lakini pia kwasasa kila familia ina makeup artist unaweza kuomba ndugu yako akakufanyia kwa bei rafiki.

  • Accessories & Viatu

Tafuta ambavyo ni quality na affortable, kumbuka kuchukua ambavyo utaweza kuvivaa mara nyingine tena sio unavaa siku ya harusi tu halafu vinakuja kukaa ndani.

Related posts

2 Comments

  1. buy howafirearms guns

    … [Trackback]

    […] Here you will find 56001 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kuslay-kama-bi-harusi-bila-ya-kufilisika/ […]

  2. best microdose mushroom

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kuslay-kama-bi-harusi-bila-ya-kufilisika/ […]

Comments are closed.