SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Kutunza Nguo Zako Nyeusi Zisifubae
Mitindo

Namna Ya Kutunza Nguo Zako Nyeusi Zisifubae 

Kutunza nguo nyeusi ni mtihani kidogo japo wengi tunapenda kuwa nazo lakini huwa zipo kwenye hatari kubwa ya kufifia. Kufifi kwa nguo nyeusi hutokana na

  • Kufuliwa katika maji ya uvuguvugu
  • kuzianika katika jua kali
  • kuzifua mara kwa mara
  • Kuzivaa na kuzunguka nazo juani zikapata jasho
  • Kufulia kwa maji ya chumvi

Namna ambavyo unaweza kuzitunza na kuboresha zisiweze kupauka kwa haraka

  • Fua kwa maji ya baridi na zianike katika upepo
  • Punguza kuzifua na sabuni mara kwa mara unaweza kuzisuuza tu kwa maji safi, lakini pia unaweza kuzipangusa kwa kutumia maji na kitambaa
  • Jaribu kuzivaa kipindi ambacho hakuna jua kali au sehemu ambazo unauhakika hutotokwa jasho jingi
  • Fulia maji baridi hapa tunamaanisha maji yasiyo na chumvi.

Related posts

2 Comments

  1. weed delivery Toronto

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kutunza-nguo-zako-nyeusi-zisifubae/ […]

  2. ks pod

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kutunza-nguo-zako-nyeusi-zisifubae/ […]

Comments are closed.