SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NAMNA YA KUVAA JEANS KAZINI (WORK OUTFIT IDEAS)
Mitindo

NAMNA YA KUVAA JEANS KAZINI (WORK OUTFIT IDEAS) 

Si wote wanao weza ku keep up na official rules na well rules are made to be broken (sheria zime wekwa ili zivunjwe), linapo kuja swala la mitindo una weza kuvaa chochote popote ni jinsi wewe unavyo weza kuki style kikaa vile unavyo taka kiende kutokana na mahala uendapo (usiwe too excited ukavaa beach wear ofisini).

Japo wengi wana sema ni unprofessional kuvaa jeans kazini lakini una weza ku pull the outfit na ukaonekana official ukiwa ume vaa jeans

Vaa jeans na shiffon blouse ya mikono mirefu, funga vifungo hadi juu.. una weza ku accessorize na cheni na ukawa good to go ofisini kama dada hapo chini

@inidimaokojie-1

vaa blouse ya kitenge nzuri yenye muonekano wa kazini ambayo watu wataitilia mkazo yenyewe na kusahau kuhusu jeans ya suruali uliyo ivaa chiniliving_my_bliss_instyle

chomekea shati lako katika suruali, vaa mkanda na beba pochi, vaa heels ziwe zina endana na kimoja kati ya mkanda, pochi au shirt. heels always zina kaa vizuri zaidi na mitoko ya jeans ofisiniWomens-Jeans-For-Office-Work-12

ongezea blazer au sweater katika vazi lako

Womens-Jeans-For-Office-Work-13

 

Related posts