SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Kuvaa Rangi Nyekundu Kazini
Mitindo

Namna Ya Kuvaa Rangi Nyekundu Kazini 

Unaweza ukawa unajiuliza je ni sawa kuvaa rangi nyekundu kazini? kama ni sawa naivaaje? well yes unaweza kuvaa rangi nyekundu kazini lakini inategemea na eneo lako la kazi, research zinasema wanawake wakimuona mwanamke mwenzao kavaa rangi hii wanamuona kama threat, however kwa wanaume ni tofauti inakufanya upate attention yao na ata heshima.

Kama ambavyo kwa wanaume wana red power tie, na kwa wanawake pia unaweza kuvaa nguo nyekundu na ku utilize na rangi nyingine ii usiwaudhi wafanyakazi wenzio wakike, ukiwa ni mwezi February mwezi ambao wengi tunapenda kuvaa nyekundu hizi ni ideas chache za namna unaweza kuvaa mavazi, viatu, accessories nyekundu kazini.

Unaweza kuvaa skirt yenye touch’s za rangi nyekundu, nablouse nzuri ukimatch kimoja wapo na viatu, kama tulivyo sema juu utilize rangi zako vizuri nyekundu hisishout sana.

Red Blouse – blouse nyekundu ina kawaida ya ku shout ili kuifanya iwe calm vaa na dark neutral colors kama grey, nyeusi, dark blue etc

Red Blazer – koti jekundu nalo ni kama blouse nyekundu vaa na rangi ambazo ni dark ili kuifanya na yenyewe kufifia kidogo

Red Handbag – unaweza ku-make a statement kwa kubeba bag jekundu huku ukivalia na mavazi ya rangi nyingine

Red Shoes – hizi zipo vary tricky ni mara chache kuona zimevaliwa kazini lakini kama zikivaliwa vizuri kama na suit, skirt & blouse au gauni zinaweza kuinuna mtoko wako kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

well unaweza kupata idea za mitoko ya kazini ya aina tofauti kwa kubonyeza hapa na hapa

Related posts

6 Comments

 1. view website

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kuvaa-rangi-nyekundu-kazini/ […]

 2. wapjig.com

  … [Trackback]

  […] There you will find 42919 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kuvaa-rangi-nyekundu-kazini/ […]

 3. Oregon shroom dispensary

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kuvaa-rangi-nyekundu-kazini/ […]

 4. important site

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kuvaa-rangi-nyekundu-kazini/ […]

 5. automated tests platforms

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kuvaa-rangi-nyekundu-kazini/ […]

 6. 방콕 마사지

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-ya-kuvaa-rangi-nyekundu-kazini/ […]

Comments are closed.