Ukiachana na off shoulder, belly sleeves, denim etc Stripes ni trend kubwa kwa sasa na kwa stripes tunamaanisha nguo zenye mistari mistari ina weza ikawa zebra yaani nyeupe na nyeusi lakini pia zina weza zikawa rangi tofauti tofauti, Kitu ambacho tume penda kuhusu hii trend ni kwamba iko bold na ina valika wakati wowote usiku na mchana pia katika occasion tofauti tofauti.

Kama una nguo ya mistari mistari na hujui uvae kwa namna ipi msimu huu hizi ni ideas chache tulizo kuletea

Unaweza kuvaa kama matching two pieces hii style ina tumika na fashion bloggers wengi, pia watu maarufu

Vipi kuhusu kuvaa trend on a trend? yes una weza kuvaa striped off shoulder, belly sleeve dress ukapendeza na kwenda na trend zote mbili

Crop top kama Kendall Jenner, Msimu huu ni wa joto crop top zina husika sana, ina tegemea ume amua kwenda na stripes za rangi gani una weza kuamua kuchukua rangi moja uka match kama ni suruali, skirt na top yako kama Kendall hapo chini

Stripes X bold shoes na Vest

Striped off shoulder top.

Stripes bold print skirt

Note: kwa sababu the prints zipo bold tayari ni vyema ukavalia moja kati ya rangi zilizopo kwenye prints unless kama uko vizuri katika ku-style

Well kama utajaribu kuvaa usisite kututag katika account zetu za mitandao ya kijamii