SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NAMNA ZA KU ADD METALLIC COLORS KATIKA MITOKO YAKO
How to Rock

NAMNA ZA KU ADD METALLIC COLORS KATIKA MITOKO YAKO 

In case huja notice bado rangi za metallic ziko so in trend katika season hii, tumeona Fashion bloggers mbali wakitumia rangi hizi. Japo bado tuna fikiria una weza kuzzivaa kweli bongo mchana wa jua kali?  mmh labda jioni hivi lakini sio kesi sana maana si lazima uvae kama vazi. Hivi ndivyo unavyo weza kwenda na trend hii bila kum’bugudhi mtu na ming’aro yako

  • tumia metallic colors katika viatu, kama una taka ku add glam katika mtoko wako basi mettalic shoes ni best choice kwako iwe flat au heels chochote kile kitakufaa na kama bado hauja jua uchague kipi kati ya silver na gold kutokana na ngozi yako basi wacha tukujuze Gold (dhabahu) ni nzuri kwa wale wenye rangi za kufifia (chocolate, dark colors) na Silver kwa wale wenye light skin

Shoes

  • Mapambo (urembo/accessories) una weza kutumia metallic colors katika urembo kama Hereni, Cheni, pete, mkoba, mkanda etc ni njia ambayo wengi tume izoea japo a statement metallic accessory ina leta mvuto zaidi, Hutakiwi kuvaa urembo huu na rangi zinazo shout pia ni vizuri kama utavaa with dark make up

Jewelry

  • mavazi yenye metallic colors ni vizuri ukivaa mavazi haya uka nguo zilizo bakia uka vaa neutral colors, yani kama skirt metallic basi shirt neutral ina pendeza zaidi

Outfits-with-metallic-elements

  • Make up kama una taka kuwa minimum na trend hii basi hii ni perfect choice kwako tumia metallic colors kama eye shadow, lipstic kwa mitoko ya usiku

Makeup

au hata rangi za kucha Manicure-and-pedicure

Will You Dare Kujaribu trend Hii? Tuandikie

Facebook – Afroswaggamag

Instagram – afroswagga

Twitter – afroswaggatz

 

Related posts