Tupo katika kipindi cha mfungo wa Ramadhani na watu wengi huwa wana vaa mavazi ya kujistiri kipindi hiki, lakini wengi huwa wana chagua ma baibui, skirt ndefu na ma dera bila kujua unaweza kwenda na trend lakini uka jistiri pia, tunajua ruffle zipo kwenye trend kwa sasa, una weza ukawa ulinunua top yako ya ruffle, skirt, gauni au suruali una tamani kuvaa lakini una shidwa kwa sababu tu ya mwezi huu lakini kumbe una weza kujumlisha moja na moja ukapata mbili na ukajistiri na bado uka keep up na trend hizi ni idea za namna ya kukeep up na trend hio ukiwa huja vuka mipaka ya Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani
Unaweza ukawa na ruffle dress ndefu hii haina shida sana tupia tu hijab na a good handbag uko sawa kutoka
Unaweza kuchagua Ruffle Abaya ( baibui)
Kama una ruffle suruali una weza kuistyle kama dada hapo chini (kama haikubani) kama ina kubana una weza kutafuta shirt kubwa kubwa refu ukavalia jua tu namna ya kustyle na kupangilia rangi
Ruffle top/shirt kama unayo ina kaa off shoulder una weza kuvalia top kwa ndani ili kuzuia mabega kuonekan kama picha inavyo onyesha hapo chini
Kama ulinunu kata mikono ruffle dress na hujui utavaaje una weza kumuigia fashion blogger sohamt hapo chini jinsi alivyo style gauni lake
Ni matumaini yetu ume pata idea za jinsi ya kustyle ruffle trend katika mwezi huu.
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-za-ku-keepup-na-ruffle-trend-kipindi-hiki-cha-mwezi-wa-ramadhani/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 4639 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-za-ku-keepup-na-ruffle-trend-kipindi-hiki-cha-mwezi-wa-ramadhani/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 47141 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-za-ku-keepup-na-ruffle-trend-kipindi-hiki-cha-mwezi-wa-ramadhani/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-za-ku-keepup-na-ruffle-trend-kipindi-hiki-cha-mwezi-wa-ramadhani/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-za-ku-keepup-na-ruffle-trend-kipindi-hiki-cha-mwezi-wa-ramadhani/ […]