SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Za Ku-Style Kanzu
Mitindo

Namna Za Ku-Style Kanzu 

Mara nyingi huwa tuna post kuhusu Fashion za wanawake (hijabista’s) na kusahau kuhusu wanaume, labda kwa sababu wanaweza kuvaa chochote ili mradi kivuke magoti, lakini vazi lao kubwa ni kanzu, Kanzu inavaliwa tu kawaida japo kuna namna zake unaweza kuivaa ukaonekana smart, fashionable na bado ukawa umekaa katika maadili ya vazi hili.

leo tunakuletea namna mbali mbali za unavyo weza kustyle vazi hili

Kuna zile ndefu na zile zinazo kuwa fupi kidogo leo tunaongelea zilizo fupi kidogo,

Fashion Blogger huyu amestyle ya kwake kama two pieces alicho ongezea ni cape pamoja na kuikunja mikono wakati kwa ndani akiwa amevalia shirt ya mikono mirefu.

Hapa ikiwa ipo layered na msuli kwa ndani, suruali yake ambayo kidogo ameiweka kuwafupi akionyesha socks na viatu vyake

Hapa Kanzu ikiwa imekua styled na jeans, ambayo aliamua kuikunja kidogo ku-make a statement na kuongezea socks ndefu.

All white

Fashion Blogger huyu yeye aliamua kuvaa two pieces za kanzu nyeusi, aki add a pop of color na sleeveless blazer (kizibao) cha damu ya mzee na scarf

ni matumaini yetu umepata kuopoa mawili matatu ya namna gani unaweza ku style kanzu yako,

Related posts

1 Comment

  1. lsm99

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-za-ku-style-kanzu/ […]

Comments are closed.