SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nana Akua Ado Strikes Again In Glitz Fashion Week
Mitindo

Nana Akua Ado Strikes Again In Glitz Fashion Week 

Nana Akua Ado ni actress na fashionista kutoka Nchini Ghana, Nana amekua aki-serve mitindo ya aina tofauti na ya kitofauti tunaweza kusema ni moja kati ya fashion icons kutoka Africa. Nana Aki-attend kwenye event yoyote lazima aache mark kutokana na mavazi yake.

Week hii Nana Ame strike again katika Glitz Fashion Week,Akiwa na wanae Nanaa ameonekana kwenye hii look ambayo wengi wameipa hii style jina la Ninja Style, kutokana na mavazi kuwa yameficha sura na ya rangi nyeusi. Nana na wanae wali-match nguo hizi isipo kuwa mama mtu alivaa lace head to toe look huku watoto akiwa amewapa age appropriate look.

Ikumbukwe style hii ilionekana sana mwaka 2020 ambapo Cardi B alivalia vazi la aina hii katika Paris Fashion Week, lakini pia kwenye Met Gala mwaka huu Kim K alionekana kwenye muonekano wa aina hii pia. Well Nana na wanae wameweka headlines sana week iliyopita, let us know je unaonaje style hii?

Related posts