SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nanaa Akua Addo & Cardi B In Showstopping & Jaw Dropping Outfits
Mitindo

Nanaa Akua Addo & Cardi B In Showstopping & Jaw Dropping Outfits 

Katika mitindo kuna wale ambao hatujui tumesimama wapi, wale ambao tupo-comfortable na mionekano yetu na wale ambao hufikiria nje ya box, leo tunawaletea mwanamuziki Cardi B na Fashionista Nana Akua Addo hawa ni wale ambao wanafikiri nje ya box na wakotayari ku-take any risk linapokuja katika swala la fashion.

Mara ya kwanza tulimuona mwanamuziki Cardi b akiwa amevalia hii floral, face-covering Richard Quinn look akiwa katika Paris Fashion Show 2019,

outfit yake ili-cover kila kitu mwilini mwake, kuanzia sura mpaka unyayo but she looked good in her own way, and this is how you do fashion week.

Wakati huko Ghana Nanaa Akua Addo akaona alipe hii kutoka kwa Cardi B lakini yeye alifanya kwa aina yake, ” you know copying but not make it too obvious? yes yeye alivaa Full face-covering jumpsuit ambapo aliongezea na bandage skirt nyeus, gloves nyeusi akamalizia na black pumps na a black channel bag, sometimes you got to hide to make a statement.

As Swahili Fashion Week is on its way we can’t wait to see what our fashionistas & celebrities installed for us, #afromates nani unadhani ata-stand out?

Related posts

2 Comments

  1. แทงบอลออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nanaa-akua-addo-cardi-b-in-showstopping-jaw-dropping-outfits/ […]

  2. Investment opportunities

    … [Trackback]

    […] There you will find 95647 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nanaa-akua-addo-cardi-b-in-showstopping-jaw-dropping-outfits/ […]

Comments are closed.