SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nandy Channeling Her Inner Beyonce In This Red Outfit
Mitindo

Nandy Channeling Her Inner Beyonce In This Red Outfit 

Faustina Charles Mfinanga wengi tunamjua kama Nandy au The African Princess, week hii ameonekana ku-channel Mrs. Carter ( Beyonce Knowles ) kwenye hii red outfit.

Beyonce alianza kuivaa kwenye OTR 11 Tour, ambapo alivaa  red bodysuit with matching thigh-high boots na kofia. Ambapo tulimuona Nandy pia kaiwa amevalia outfit inayofanana na ya Beyonce mwaka huu akiwa anaenda ku-perform

Wakati tunaangalia hii outfit we couldn’t help but notice mistake ya stylist wa Nandy kwenye kofia, ambapo walitumia uzi mweusi kupandika hio buckle ya mkanda hapo kwenye kofia, ukiachana na huo uzi lakini pia the buckle looked forced, tunadhani wangeiacha tu bila buckle waswahili husema “kheri nusu shari kuliko shari kamili”

Well we love the outfit without the buckle, clean face beat and the clean nails.

Related posts