Tunamjua kwa jina la Nandy au the African princess lakini jina lake kabisa la kitambulisho cha nida ni Nandera, alizaliwa November 9 amesheherekea siku yake ya kuzaliwa juzi lakini party imefanyika jana.
As usual tupo hapa kukuletea alivaa nini na je tulipenda au lah?
Alivaa hii blue dress ambayo ilitupa tinker bell vibes ukizingatia na mwili wake mdogo, tumependa hii gauni ni ya tofauti na iliendana na party yake, the fact that ni fupi lakini ni statement itself. Amemalizia muonekano wake na bold color heels
Wakati kwenye upande wa kichwa alikuwa na short curl weave na nude makeup. tumependa nywele lakini makeup kidogo makeup artist mkono wa powder ulipitiliza maeneo ya machoni ni kama ilizidi au haikuwa blended vile inavyotakiwa.
well afromates tuambie je kwako umependa huu muonekano wa Nandy au lah?
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nandys-birthday-outfit/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nandys-birthday-outfit/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 5826 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nandys-birthday-outfit/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nandys-birthday-outfit/ […]