Okay Afro Mates ni Ijumaa nyingine tena ambapo as usual Ijumaa huwa tunawaletea nini kina trend kwa sasa katika ulimwengu wa mitindo na urembo, leo tunakuleta hii issue ya Mnunuzi na Muuzaji wa bidhaa ambayo kwa week kadhaa sasa tumeona ikitrend mitandaoni, Kama bado hujaelewa tunaongelea nini hapa tunaongelea ile Hashtag ya #whatiorderedvswhatigot ukiifuta hii hashtag unaweza kucheka kwa masikitiko vile ambavyo watu wanatendwa katika manunuzi yao ya mavazi lakini pia hata urembo kama kucha na nywele na hata vyakula.
Leo tutaongelea upande ambao unatuhusu wa Fashion & Beauty, Katika fashion and beauty tumeona hili swala linatokea sana kama umenunue vazi online lakini hata kama umeenda kushonesha unapeleka kitambaa chako kwa fundi ukitaka mshono fulani unaenda unakutana na kitu kingine,
Hapa tunaweza kuwalaumu wote muuzaji ambae ni fundi na aliyepeleka kitambaa ashonowe, kama ukiangalia hio picha hapo juu tell us ni namna gani fundi angeweza kutengeneza kitenge na hio satin iwe kama vazi la kulia? fabrics ni tofauti but again fundi angeweza kumshauri mteja kwamba hiki kitu akiwezekani na kumpa options nyingine.
Tumeona mafundi wamewajibu wateja wao kuhusu hili swala kama ambavyo tumesema ni kitu ambacho kina trend so definitely mafundi waliona na wakaona si vyema kama wakilikalia kimya na kuendelea kuharibu image yao ikabidi wawajibu, well ndugu wateja You Heard? Unapotaka mshono hakikisha unaumbo sio tu umbo bali fabric’s pia ziendane na hizo ambazo umeziona kwenye mitandao.
Online Shopping, tunazani we need to write a whole article ya nini cha kuzingatia ukiwa una shop online, unahitaji kuona picha ya kitu unacho nunua kabla ya kutuma pesa au ku-order, kama picha haijawekwa wamepost picha ya mtu kavaa na kuandika “same dress available”, “same bag available” omba picha ya hio bag, a real picture usinunue kwa mfano wa kuambiwa mwishoe ndio utakutana ya yaliyo mkuta huyu dada hapo chini she wanted 100% akakutana na 001, where is the similarities there? Aki online shops wanaeza kukuua na pressure.
Huyu ali order nywele online akiwa ameona from a doll akaitaka akizani atatumiwa same labda ile picha imepigwa dukani matokeo yake akakutana na nywele ambayo hakuitegema
Lakini hii ipo pia kwenye nywele pia unaenda saloon na msuko wako unataka kusuka, msusi anakwambia she can lakini kinatoka kituko, hapa napo unahitaji kujua nywele na rasta nazo zinachangia we can’t blame msusi moja kwa moja kwa maana huwezi mpelekea kipipili kisukwe kama nywele ya singa singa
Well #afromates mnazani nini kifanyike both sides ili kufanya biashara iende na mteja aridhike? tuambie hapo chini katika comment section
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-alaumiwe-kati-ya-mnunuzi-na-muuzaji/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-alaumiwe-kati-ya-mnunuzi-na-muuzaji/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-alaumiwe-kati-ya-mnunuzi-na-muuzaji/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-alaumiwe-kati-ya-mnunuzi-na-muuzaji/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-alaumiwe-kati-ya-mnunuzi-na-muuzaji/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-alaumiwe-kati-ya-mnunuzi-na-muuzaji/ […]