Hili gauni linatoka kwa bunifu Style Temple kutoka Nigeria, moja kati ya wabunifu wanaofanya vizuri Nigeria kutokana na ubunifu wake wa kipekee, style temple wana style’s ambazo ni unique hazijawai au ni mara chache kuonekana kutoka kwa wabunifu wengine wanajaribu kujitofautisha sana, as tulisema Nigeria kwa sasa wana fashion week inayo enda kwa jina la Arise Fashion Week. Watu maarufu mbalimbali wameonekana ku-attend event hii na moja kati ya watu hao ni Chioma Good Hair na muigizaji Stephanie Cooker.
Ambao wao wameonekana kuvutiwa na gauni moja kutoka kwa Mbunifu style temple
Chioma alivaa Nude Color ( Neutral ) ame style gauni hili na AZZEDINE ALAIA studded stiletto sandals, akamalizia muonekano wake kwa kubeba clutch oh don’t forget the blonde hair ni sawa yeye kujiita Chiomagoodhair this bundle is good hair.
Stephanie yeye aliamua kwenda na orange dress huku akiwa ame style na gold laced shoe, glasses na clutch
Let us know how would you prefer to style the dress A) As Chioma (B) As Stephanie
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-ame-style-vizuri-hili-gauni-kati-ya-chioma-good-hair-na-stephanie-cooker/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 17853 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-ame-style-vizuri-hili-gauni-kati-ya-chioma-good-hair-na-stephanie-cooker/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-ame-style-vizuri-hili-gauni-kati-ya-chioma-good-hair-na-stephanie-cooker/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-ame-style-vizuri-hili-gauni-kati-ya-chioma-good-hair-na-stephanie-cooker/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-ame-style-vizuri-hili-gauni-kati-ya-chioma-good-hair-na-stephanie-cooker/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-ame-style-vizuri-hili-gauni-kati-ya-chioma-good-hair-na-stephanie-cooker/ […]