Jana ilikuwa 40 ya mtoto wa Zamaradi aitwae Salah, huyu ni mtoto wa tatu wa mtangazaji huyu na 40 yake ilionyeshwa live kupitia television ya wasafi tv. Theme ya event hii ilikuwa Nigerian Wear tunaweza kusema watu wametendea haki theme hii na pia tumepata kutambua kwamba event nyingi watu wetu maarufu wanakosea kutokana na kutokuwa na theme ( mchawi theme) lakini pia designers na watu waliowavalisha inawezekana wanaijua zaidi theme hii kuliko mavazi ya red carpet.
Mama wa mtoto alivaa hii peplum dress ya rangi ya blush pink na gold, gauni ilikuwa nzuri lakini imeonekana kuzidiwa as kuna vitu vingi vinaendelea upper part tunatamani angafunga nywele ili kuacha gauni iongee zaidi as its a statement piece, but alipendeza. Mumewe alivaa the blue two pieces na kobazi he looked good too.
Irene Uwoya alivaa a pink dress yenye high slit na hii mikono yenye kuburuza chini as a statement, well tumependa design but too much for the event tungeipenda zaidi kama mikono ingetolewa na kuwa simple as alikuwa anapata tabu kwenye kutembea kuishikilia lakini alipendeza sana they say better been over dress than under dressed amemalizia muonekano wake na feathered hand fan nyeupe. the dress ime shonwa na morankiss52
Did you miss Jokate? Well Sisi pia tumepata kumuona katika hii event akiwa amevalia a Mac Couture Dress ya feather off shoulder ambayo rangi yake ni denim blue, amemalizia muonekano wake na gele…. Jokate alikuwa unique & we loved all the masala on this look. Maimartha Wa Jesse as Mc she killed in orange, green & white look.
Wema Sepetu looked goon on this turtle neck mermaid dress ya kijani amemalizia muonekano wake na kilemba aina ya gele, we all know Wema huwa anapendeza na aina hii ya magauni kwa sababu ya umbo lake well designer kamtendea haki lakini pia ame pungua mwili so its a new look in a new body, Afro Court we ship on Wema’s Boat.
Muigizaji Irene Paul looked good on her green number pia, japo kifuani ili mbana sana but we have to say ni moja kati ya best list yetu walio jaribu kuwa tofauti na wengine katika mshono Irene this table your in is a strong table ” unshakable”
dyness777_0714760451 yeye alivaa orange & yellow outfit this one is our favorite too, the color coordination on point lets say orange & yellow never looked better than this very elegant.
Mwingine ambae alipendeza ni Mama Diamond in her blue number dress
Queen Darleen didn’t disappoint either alipendeza na makeup yake na vazi lake, simple & on theme.
Shamsa yeye ali tu- disappoint kidogo na fittings zake mshono ulikuwa mzuri but the dress ime mbana sana akaonekana kila kitu kipo sehemu moja, tumbo, maziwa, mabega kila kitu kama puto na sote tunajua Shamsa anaumbo lake zuri tu.
wengi wali attend kwa bahati mbaya picha zimekosekana lakini tumepata kujua kwamba theme ni kila kitu hata wale ambao hatukuwategemea wame tu-surprise katika hii event, make up artist wamefanya kazi nzuri sana, wabunifu wamewapatia watu. kingine tumeoana tofauti katika umri, wengi wamevalishwa accordingly na umri wao na hadhi lakini pia maumbo. The event was in fire, theme imetendewa haki na it was worth it kuiangalia live.
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…