SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nani Amevaa Nini Katika Ally Rehmtullah String Attached 2019 Show
Mitindo

Nani Amevaa Nini Katika Ally Rehmtullah String Attached 2019 Show 

Mbunifu Ally Rehmtullah juzi alikuwa na fashion show yake ambayo aliipa jina la string attached, first of all lets congratulate Ally kwa uthubutu, ni mbunifu pekee kutoka Tanzania ambae anafanya fashion show yake mwenyewe, this is growth, balmain, versace, gucci level. Kwa mbunifu ambae upo kwenye industry kwa miaka kumi miaka mitano unatakiwa ujifunze kutoka kwake, kawaachia majukwaa mengine wabunifu wanaochipukia na yeye anajukwaa lake la ku-show case kazi zake Kudos to Ally.

Well sasa tuanze kuongelea kuhusu wahudhuriaji walivaa nini, tujue tu jambo moja hii ilikuwa ni fashion show sio award night it was a fashion show ambapo alishow case collection yake ya 2019, watu walipendeza sana lakini je walikuwa sawa kulingana na event? let’s see.

 • Diamond & Tanasha 

Hawa walienda lakini walichelewa, waliamua kuvaa black ( kamati ya mazishi), Tanasha anajaribu sana katika mavazi yake sasa hivi na tunafurahi kuona improvements, hapa alivaa a high slit dress nyeusi akiwa amemalizia na cartwheel hat nyeusi ameongezea na rangi kidogo kwa kuweka nywele za kijani na rangi ya kucha ya kijani, do we like the outfit? Yes but is it proper kwa event? Nope, Nada this was way too much for a fashion show event, Kwa Diamond tunasema with the right hair do everything goes smooth.

Faiza Ally alivaa this gourgeus yellow dress kutoka kwa mbunifu jacquescollection, she looked ah-maizing we all know Faiza huwaga hafanyi makosa kwenye events kubwa na tulisha wahi kumsifia kuhusu mavazi yake na kujua kwenda na theme ila hapa Faiza out did herself lakini as wazungu wanasema “better to be overdressed than underdressed” she brought her A1 game and we loved it.

 • Irene Louis In Sheer Dress

Moja ya event ambayo watu walipania basi ni hii, Irene tulimuona ndani ya hii sheer dress tuseme kwamba ilimpendeza sana sana, amemalizia muonekano wake na clutch ambayo kwetu tuliona ilikuwa un-necessary, the blue hair was a statement love it, japo tungeipenda zaidi kama hii gauni ingekuwa fupi na kuwa more eventfully ndefu imefanya ionekane too much for event.

 • Stylist Noel Ndale 

Noel yeye hupenda kuwa tofauti tofauti na watu wengine kwenye events, mara nyingi anvaa kitu ambacho ni unexpected kwenye hii event aliamua kuwa more of 80’s alivaa check trouser, kizibao na t-shirt ndani amemalizia na white kicks na kofia juu, we love this look fashionable and inaendana na event.

 • Stylist & Designer Rio Paul

Stylist Rio Paul yeye ali-attend kwenye event hii akiwa amevalia all black, black shoes, black jeans, black vest na hat akamalizia na his statement favorite black & gold balmain jacket, right on the spot.

 • Brigitte Alfred-Bri

former Miss Tanzania Brigitte Alfred yeye ndio alikuwa favorite outfit yetu kwa upande wa wanawake, she was on the theme event ilikuwa ni fashion show hakukuwa na uhitaji wa heavy outfit yeye alivaa black and white, black crop top, black trouser na black pumps amemalizia na makeup yake nzuri na middle part hair style, if we had to choose a outfit of the night then Brigitte Alfred-Bri would have been our peak

Afro mates let us know muonekano upi na wa nani umekuvutia zaidi?

 

Related posts

2 Comments

 1. Tanasha Donna Maternity Photoshoot Wow! – modoSpace

  […] Nani Amevaa Nini Katika Ally Rehmtullah String Attached 2019 Show […]

 2. Ufabet

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-amevaa-nini-katika-ally-rehmtullah-string-attached-2019-show/ […]

Comments are closed.