SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nani Amevaa Nini Katika Tuzo za Sinema Zetu International Film Festival 2019
Mitindo

Nani Amevaa Nini Katika Tuzo za Sinema Zetu International Film Festival 2019 

Jumamosi ya tarehe 23 kulikuwa na ule usiku mkubwa wa Tuzo za Zetu International Film Festival 2019 , ambapo tuzo hizi huwa zinatolewa kwa ajili ya yoyote aliyekuwepo katika tasnia ya filamu ni kama Oscars lakini hizi za Tanzania, kama kawaida tulikuwa tunaangalia nani atavaa nini katika event hii ambayo theme yake tulisha iongelea ni mavazi ya kistaarabu, lets start na wale ambao tumeona wamejitahidi.

 

  • Mh Jokate Mwegelo 

Former Miss Tanzania na Model kwa sasa ni DC wa Kisarawe Mh. Jokate Mwegelo alikuwa mlezi wa Tuzo hizi za sinema zetu internationl film festival, Jokate alivaa hii sequin caped dress ambayo sisi tuliona ni nzuri sana, imeenda na mwili, neat, classy lakini pia imeendana na theme, the accessories zilikuwa on point, nywele na makeup on point kitu ambacho tuliona ni miss ni hii cape, tunatamani ingekuwa fupi isingewekwa ndefu sana but all in all she carried this look like a queen that she is.

  • Hamisa Mobetto 

Hamisa Mobetto yeye alihudhuria katika Tuzo hizi in a white side train dress, well lets say Hamisa Slapped us with this look, she looked perfect, nguo ilimkaa vyema and the design was red carpet appropriate kama ambavyo tulisema kwa sababu theme ni mavazi ya kistaarabu haimaniishi uje na boring look, Hamisa gave us that, she showed skin na a little cleavage, she showed us neck pia, we love the chandelier earrings na makeup ilikuwa on point tuseme tu Hamisa’s team didn’t come to play, japo next time tungependa kumuona in designs nyingine hii kama we are getting use of it and the finishing was a little off.

Photo Courtesy @benardatilio

Designer @Elisha.Red. Label 

  • Diana Kimary 

Diana alivaa hii red & black ball gown, ambayo sisi kwetu tulipenda, we loved the bold color and design, tungefurahi zaidi kama nywele zingewekwa neat zaidi ya hivi alivyoweka but the makeup imeinua muonekanao wa nywele and alipendeza amevalishwa na @allie_clothings

  • Irada Styles 

Tunaweza kusema Irada walimpeleka nyumbani na hii theme ya mavazi ya kistaarabu, as a hijabista Irada showed us how to rock a red carpet with a hijab on, in her own hot pink mermaid creation, tumependa the statement dress, how amevaa hijab yake, she looked sassy yet classy loved it.

  • Yvonne Cherrie

Mugizaji Yvonne Cherrie a.k.a Monalisa yeye alifika katika event hii akiwa katika hii black & silver sheer dress,tumependa huu muonekano kutoka kwake, kama tungeulizwa tutoe nini katika huu muonekano basi tungempa another hair style ambayo inaendana na hii dress, the dress is too cute for this hair style na pia hii clutch was a miss, she looked cute though.

Picture by @k9picha

 

  • Wema Sepetu

They say new body comes with new style, tumependa madam ame badilisha muonekano, the nguvas are out na sasa anajaribu new styles. She rocked this tuxedo kutoka kwa mbunifu @jm_international_collection , kwa ambao tumemzoea Wema huwa tunajua kash kash zake, lakini hapa she chose to be different kidogo hakuwa on our best of the best dress lakini she is not on the worse look tunaweza sema yupo 50/50, we love that she is trying to be lowkey with everything.

Kwa upande wa wanaume Gabo Gozimba aliwakilisha vyema kabisa i mean he never disappoints

Kwa hawa tungependa wangetulia nyumbani tu, yaani why attend a big event like this looking like a non civilized person? why would you attend on a event ambayo unajiona kabisa ni wewe ambae utakuwa hujapendeza? where you forced?

Mpoki brother wapi ulitoa hii coat? the trouser & shoes tena unaenda kutoa Tuzo smh, how sad is this outfit?

Rucky Beby we have a place and time for this madness.

Well afromates look ipi imekuvutia na kukuhuzunisha zaidi.

Related posts

8 Comments

  1. สล็อตวอเลท ไม่มีขั้นต่ำ

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-amevaa-nini-katika-tuzo-za-sinema-zetu-international-film-festival-2019/ […]

  2. benelli guns store

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-amevaa-nini-katika-tuzo-za-sinema-zetu-international-film-festival-2019/ […]

  3. สล็อตเว็บตรง

    … [Trackback]

    […] Here you can find 99452 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-amevaa-nini-katika-tuzo-za-sinema-zetu-international-film-festival-2019/ […]

  4. check here

    … [Trackback]

    […] There you can find 31222 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-amevaa-nini-katika-tuzo-za-sinema-zetu-international-film-festival-2019/ […]

  5. Online businesses

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-amevaa-nini-katika-tuzo-za-sinema-zetu-international-film-festival-2019/ […]

  6. Web Hosting

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-amevaa-nini-katika-tuzo-za-sinema-zetu-international-film-festival-2019/ […]

  7. 토렌트

    … [Trackback]

    […] Here you will find 40009 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-amevaa-nini-katika-tuzo-za-sinema-zetu-international-film-festival-2019/ […]

  8. Albino penis envy mushrooms

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-amevaa-nini-katika-tuzo-za-sinema-zetu-international-film-festival-2019/ […]

Comments are closed.