Tumeona mionekano ya watu maarufu mbalimbali ambao kuna wale walio tupa the wow look tukaona hawa wanafaa kuongelewa, kuna wale ambao walikuwa vuguvugu hawa mara nyingi tuna pass by, na kuna wale ambao walitupa the what going on look hawa nao huwa tunaona wanafaa kuongelewa, Kama kawaida our one and only @willibard_jr amehakikisha kila mtu anavuna kile ambacho amepanda, angalia hapo chini kuja nani kavuna nini

Usihahu ku-subscribe katika youtube channnel yetu, kutuachia maoni yako katika comment section lakini pia kama umependa video basi usiache kulike.