Tunapenda tukiona event zinafanyika hapa Nchini hasa ambazo zina red carpet na watu maarufu mbalimbali wana attend, katika sherehe hizi mara nyingi huwa tuna jiandaa kujua nani kavaa nini kutokana na tukio husika, event hii iliandaliwa na mbunifu Martin Kadinda akishirikiana Na Petitman ofcourse walialika watu maarufu mbalimbali na wapo waliokuwa wakitoa onyo la watu wajiandae kwa slayage. Well siku ikafika na kama ilivo kawaida yetu Wa-Tanzania wengi waliboronga na wachache wakapendeza.
Well tuone ambao tumewapenda usiku huu, tunapo sema ni wachache tunamaanisha wachache hasa. Wengine walipendeza lakini ilikuwa too much kwa tukio au walikuwa under dressed
Faiza Ally alikuwa best dressed katika usiku huu, outfit yake ilikua on point, color nzuri well fitted. Make up on point ya event na hata accessories well kulikua na red carpet so kujipodoa kidogo na vijiurembo ya hapa na pale vilitakiwa kuhusika lakini pia haikumfanya yeye kutoka nje ya theme kwamba hii ni music event. She is body goals.
Hapa tumependa gauni ya Esma Platnumz, gauni lake lilikuwa perfect kwa red carpet lakini pia na theme pia iliendana nayo,she showed us some legs in a blue and silver sequin dress.
Irene Huyu ni video vixen ambae nae alitufuraisha na outfit yake, her simple make up on point, hair on point na outfit yake ilikuwa well fitted kwenye red carpet na kuendana na theme ya tukio.
Walio baki wengine walikuwa wana kasoro kama sio nywele basi make up, mavazi etc wengi wao ilikuwa kawaida hawajatoka nje ya box na wengine walizidisha kama wanaenda harusini au some sort of award event, magauni ya kuburuza, makeup too much its 2018 jamani tunapaswa kujua unaenda wapi, muda gani na uvae nini. Unaendaje kwenye event ya music hata kama ni muziki laini na gauni lina buruta mpaka chini make up nzito balaa. Yaani wengi wameturudisha miaka ya 90 kipindi cha kina Ally Star na Khadija Kopa enzi hizi ndizo watu walikuwa wanaenda kwenye event za muziki wamejipodoa na magauni yao ya harusi.
Kama kuna fuction unaenda kuna watu wana attend na unajua utakua under dressed una option mbili kuto enda au kutafuta something cute itakayo kufanya u-fit kwa wale wa kawaida lakini ukiamua kwenda hivyo hivyo lazima utakuwa kichekesho cha siku hio, tulisubiri kwa hamu hii event mwisho wake ikawa big disappointment wengi walikuwa nje ya theme ya party eidha walikua too much au under dressed.
Tunapo sikia neno elegant haimaanishi kuvaa miburuzo kuna outfit za aina nyingi ambazo zipo elegant na sio miburuzo, we need to understand that, tunahitaji kujifunza kutoka kwa wenzetu kwetu sisi tulikuwa tunategemea watu wafikiri nje ya box kama ambavyo Faiza Ally amejaribu. Kuna mavazi kama Tuxedo Dresses , suit and brallete yote haya watu wangeweza kuvaa na kueleweka. Tunadhani watu ni waoga wa red carpet wakisikia event ina red carpet wana changanyikiwa while all you have to know ni muda,theme ya event na jinsi ambavyo utaweza kuvi combine hivyo vitu viwili kwa pamoja basi.
well picha nyingi hazijatoka zikitoka tuta update, lakini pia unaweza kutuambia wewe nani alikukosha hasa.
Related posts
9 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-kavaa-nini-katika-vikings-night-event/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-kavaa-nini-katika-vikings-night-event/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 56449 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-kavaa-nini-katika-vikings-night-event/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 14289 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-kavaa-nini-katika-vikings-night-event/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-kavaa-nini-katika-vikings-night-event/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-kavaa-nini-katika-vikings-night-event/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-kavaa-nini-katika-vikings-night-event/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 73236 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-kavaa-nini-katika-vikings-night-event/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 67388 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nani-kavaa-nini-katika-vikings-night-event/ […]