Wema Abraham Sepetu, Miss Tanzania 2006 ni jina ambalo wengi wana lijua pia kumfahamu birthday yake ilikua wiki kadhaa zilizo pita hakuweza kufanya sherehe katika siku hiyo kutokana na shughuli zake kum’bana. Lakini jana alifanya sherehe yake na tuna taka kujua nani alivaa nini? Theme ilikua nyeupe na pink na wapo walio enda kinyume kidogo na theme hiyo.
Ukumbi ulikua hivi, hauna tofauti sana na mwaka jana hii ina tufanya tujue wema ana penda rangi hizi, ukumbi ulipambwa na kvndavid
Wema Sepetu katika mermaid gauni ya rangi ya dhahabu na nyeupe
Lulu Michael huyu huwaga hakosei
Martin Kadinda
harmy B
Wema na wegeni waalikwa
Mama Wema katikati na wageni waalikwa.
Petit ndani ya suti nyeupe na shati la pink kanoga
Idris kapendeza na sasa hivi scarf zipo kwenye chati
David
Lulu,Joan na Penny
Abby,B12v na Shadee
Wema akiwa na Nelly Kamwelu
Linnah na Mirald nao hawakuwa nyuma
Idris Sultan na Linnah Sanga
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…