The streets are colorful kwa sasa tumeona fashionista’s na watu maarufu mbalimbali wakiwa wanavaa rangi za ku-shout ( neon) huku kwetu tumezoea kuziita crazy colors, well hii inaweza ikawa sio habari nzuri kwa wapenda rangi lakini kwa wale ambao their fashion life is colorful basi ni habari njema kwenu,
- Blake Lively In Neon Suit
Blake Lively ambae yeye alikuwa anakwenda ku-promote movie yake mpya akiwa amevaa a full green neon suit, amemalizia muonekano wake na light blue earrings na floral pumps, well we are so feeling Blake in this suit its called taking risk and slay out of it.
- Kim Kardashian Neon Two Pieces
Mama watatu ambae anafikiria kupata wa nne Kim alihit the street akiwa amevalia two pieces neon yellow outfit, as usual ameonyesha alot of skin lakini pia “the abs” Kim amemalizia muonekano wake na waist length black hair na pvc clear shoes,
we can’t complain she did justice on this one lakini pia alihudhuria katika harusi ya 2 Chainz akiwa amevaa neon spandex dress.
Lakini pia International Model Bella Hadid yeye alionekana akiwa amevalia Dior Yellow suit, akiwa ana bob cut amemaliza muonekano wake akiwa amevalia kicks, this color is giving the streets life.
- shoes
Kama hupendi sana rangi unaweza kuvaa rangi hizi kama Kylie Jenner ambae yeye aliamua ku update her casual look kwa kuvaa neon sandals za kijani ambazo zilikuwa statement kwenye muonekano wake.
- Nail Colors
unaweza kupaka kama rangi ya kucha pia, lakini pia unaweza kuvaa kama accessories, jewelry au hata makeup inategemea na wewe na chaguo lako
Tuambie unaionaje trend hii yay or nay?
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/neon-colors-are-living-their-best-life-on-the-streets-right-now/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/neon-colors-are-living-their-best-life-on-the-streets-right-now/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/neon-colors-are-living-their-best-life-on-the-streets-right-now/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/neon-colors-are-living-their-best-life-on-the-streets-right-now/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/neon-colors-are-living-their-best-life-on-the-streets-right-now/ […]