Neutral color ni zile rangi zilizo tulia sisi huwa tunaziita rangi muingiliano kwamba zinaweza kuingiliana na rangi yoyote, rangi hizi huwa zimetulia mno, ni nyeupe, nyeusi, blush pink, grey etc. Kwa week iliyo pita tumeona zime shika chati kidogo kwa sababu watu wengi wameonekana kuzivalia japo kwetu tumependa hizi tatu kutoka kwa Faraja Nyalandu, Jacquilene Mengi na Vanessa Mdee
Faraja Nyalandu yeye alivaa blush pink skirt, botton up white shirt na nude valentino heels ame pendeza mno amemalizia muonekano wake na simple makeup, hereni za duara na nywele zake fupi nyeusi
Jacqueline Mengi yeye alivaa pink blush top, suruali ya grey akamalizia muonekano wake na gold pumps alizo match na blonde hair zake na miwani we love this casual & yet chic look
Vanessa Mdee yeye alivaa two pieces blush pink outfit akamalizia muonekano wake na grey
sisi tumependa outfit zote je wewe imekufurahisha ipi zaidi? tuambie kupitia mitandao yetu ya kijamii.
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 58697 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/neutral-color-outfits-kutoka-kwa-vanessa-mdee-faraja-na-jacqueline-mengi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/neutral-color-outfits-kutoka-kwa-vanessa-mdee-faraja-na-jacqueline-mengi/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/neutral-color-outfits-kutoka-kwa-vanessa-mdee-faraja-na-jacqueline-mengi/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/neutral-color-outfits-kutoka-kwa-vanessa-mdee-faraja-na-jacqueline-mengi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/neutral-color-outfits-kutoka-kwa-vanessa-mdee-faraja-na-jacqueline-mengi/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/neutral-color-outfits-kutoka-kwa-vanessa-mdee-faraja-na-jacqueline-mengi/ […]