Tunajua wanamuziki au wasanii wanapotaka kutoka vitu vipya huwa wana tu-tease na mionekano yao katika hiko kitu kijacho, inaonekana Nay anakuja na wimbo mpya na akianza ku-tease tume notice mabadiliko makubwa katika muonekano wake, is it in a good way though ( take a seat and ride with us)
Tumezoea kumuona Nay in jeans, pants kubwa kubwa, t-shirt and bomber jackets lets say that hip to the hop look lakini huu muonekano mpya ni tofauti kabisa, in fact umetukumbusha muonekano wa mwanamuziki kutoka Angola Cabo Snoop ambae alikuja kwa kasi mwaka 2010, he was all about colors, and tight trousers sasa imagine that on Nay.
Nay amevaa t-shirt ya njano, blue,white and red shitrt kwa juu, huku akiwa amemalizia muonekano wake na suruali iliyo m’bana ya stripes za pink,njano na nyeupe na kumalizia na kicks nyeupe we sure agree with Dogo Janja ambapo amesema alijua Nay ni Rainbow.
Kama ungetuuliza sisi ni nini kingetoka kwenye hii outfit we definitely took out the pants, kwanza kabisa zime m-tight mno na pia rangi zimekuwa too much, we could give him a proper suruali ambayo haimbani na rangi ambayo ingetulia au kuendana na rangi ambazo zipo kwenye outfit yake to balance the outfit.
Well afromates let us know are you digging hii new look ya Nay wa mitego?
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/new-music-new-look-are-we-here-for-the-new-nay-true-boy/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/new-music-new-look-are-we-here-for-the-new-nay-true-boy/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/new-music-new-look-are-we-here-for-the-new-nay-true-boy/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/new-music-new-look-are-we-here-for-the-new-nay-true-boy/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/new-music-new-look-are-we-here-for-the-new-nay-true-boy/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/new-music-new-look-are-we-here-for-the-new-nay-true-boy/ […]