Wakati ndio kwanzaaaa tunauanza mwaka watu maarufu wameshaanza kuonyeshana makali katika style zao za mavazi, we are loving this energy seems like 2023 tutakua na more content, anyways tukiwa kwenye siku ya pili ya 2023 tumeshaona photoshoot na looks kadhaa kutoka kwa watu maarafu na as usual tunazi review,
Fahyma looked angelic akiwa amevalia hii red dress kutoka kwa @brilliantcollectionstz Hair @certified_perucaz Makeup @alexabeautyglam 📸 @20r_touchez Lashes @fahymabeautty
While Zuchu served akiwa amevalia greenery ball skirt na embellished tube top tumependa huu muonekano kuanzia nywele, makeup mpaka outfit yake 👗 @michaelwilliams.x
💇♀️ @khaleesi_beautyparlour,💄 @emeraldglows, 📸 @blaq._r


Wakati anajiandaa na Miss kwenda Miss World mwaka huu Miss Tanzania, Halima kopwe ameingia mwaka mpya na hii white corset dress yenye statement sleeve, cape na embellishment chocker kutoka kwa mbunifu MichaelXWilliams (MUA: @makeupbyeddie_ Photos: @chizimapicha Fabrics: @zidane_fabric_store)
Wakati Miss Tanzania 2001, Hapiness Magese yeye alisheherekea siku yake ya kuzaliwa pamoja na new year akiwa amevalia hii black jumpsuit yenye statement sleeves akamalizia na fascinators a rich look.


Siskikii yeye alichagua kuwa zawadi ya mwaka mpya akiwa amevalia hii bow dress nyekundu,
Gigy served legs in a red mini dress.


tuambie favorite look yako ni ipi?
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/new-year-looks-from-celebrities/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/new-year-looks-from-celebrities/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/new-year-looks-from-celebrities/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/new-year-looks-from-celebrities/ […]