SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

New Year New Body Or New Year Lots Of Editing?
Mitindo

New Year New Body Or New Year Lots Of Editing? 

Is Everybody  Slimming Down Or Are They Lying To Us?, Ukiingia social media it seems like kila mtu ana pata body goals yake, from Tanzania Sweetheart Wema Sepetu, Dada wa Taifa Mange Kimambi, Ndege mnana Linah Sanga, Aunty Ezekiel na wengine wengi wameonekana kupungua na inaonekana wana inspire watu wengi katika mitandao ya kijamii na wengi wakijiuliza wamefanya nini kupata mwili huo

Si kazi rahisi kupunguza mwili kama ambavyo ilivyokuwa rahisi kuupata, celebrity wanajitahidi ku-keep up na miili yao na hii kutokana na kwamba us kama mashabiki wao we expect them to be perfect kwa mwili, mavazi na kila kitu, lakini pia hii haiwapi rights watu hawa maarufu kudanganya fans wao, kupata body perfect kuna aina mbili kufanya mazoezi ambapo wengi huwa ina washinda au kutumia madawa hii ni rahisi na wengi wanatumia lakini the worse part ni kwamba wengine hata hizo dawa hawanywi wana edit pictures na kudanganya fans zao kwamba wamepungua kutokana na kunywa dawa fulani ili kuvutia wateja kununua dawa hio.

Ukienda kwenye show yake umuone face to face mwili wake upo vilevile, kwanini unahitaji kudanya watu kwamba hii dawa ndio imenisaidia na blah blah blah, kama kweli unahitaji kuuza dawa yako au unahitaji kukonda you should atleast put some work on it na ujaribu kutuonyesha kweli dawa imefanya kazi kwa kupungua kweli in real life, save that embarrassment ya kuwa posted ya picha za kukufananisha au kutukanwa kwa kudanganya watu na jaribu kuwa mkweli, lakini pia fikiri na wale watu ambao wanakuamini na kununua hio dawa halafu hawapati matokeo ya ukweli.

https://www.instagram.com/p/BrxXD6GDL6g/

Mtu akimuamini Kim Kardashian kapata ule mwili kwa mazoezi thats her / his problem maana mwenyewe ameshakiri ni plastic surgery lakini wewe kutuaminisha ni dawa fulani huo ni uongo 100% wakati kumbe una edit pictures, like why are you doing that?

View this post on Instagram

Show Time 🎤 KIVAZI: @bibiharusi MUA: @swallher_tz

A post shared by Linah Sanga (@officiallinah) on

we do spot the bending gate, we do spot the pending walls jamani we need to keep it real kama umnene umnene unahitaji kuuza dawa ya kupungua put some work on it na tuonyeshe matokeo ambayo hata tukikutana na wewe ni ya kweli, Lets give kudos to Wema Sepetu she did what she did hana muda wa ku-explain kafanya nini na hadanganyi watu the rest don’t posh queen us we know what you did.

Related posts

2 Comments

  1. สล็อตเว็บตรง

    … [Trackback]

    […] There you will find 37102 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/new-year-new-body-or-new-year-lots-of-editing/ […]

  2. turner's outdoorsman

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/new-year-new-body-or-new-year-lots-of-editing/ […]

Comments are closed.