Bado tupo kwenye ile New York Fashion week, wenzetu huwa wana ithamini sana hii utakuta watu mitaani wamependeza au hata wale watu maarufu wakiwa hawapo kwenye show wana tembea tu mitaani wanavaa na kupendeza yaani New York Fashion Week inakua kwa wote wanapendeza, hizi ndizo tulizo zipenda kutoka NYFW street style na tunahisi zitakuja ku trend huko mbeleni
Unaweza ukasema hizi double matching animal print ndizo zitachukua nafasi ya double denim, tumeona denim on denim ime trend kwa miaka sasa japo kuwa denim ni irreplaceable ni vazi ambalo limevaliwa tangu na tangu lakini hii trend inaweza ikapunguza makali ya denim on denim trend
Metallic Trouser zinaweza kuja kuchukua nafasi za metallic pleated skirt, mwaka jana na mwaka huu metallic pleated skirt zilibamba sana inaonekana zimepata m’badala wake
The Rihanna Over Sized Suit – Rihanna alivaa suit yake ya wahenga lakini inaonekana hii imekuja kuwa trend na wengi wameonekana kuvutiwa nayo katika mitaa ya New York Fashion Week
Pink & Red – inaweza ikawa hauja wahi kufikiria kumix hizi rangi lakini mwaka huu NYFW imekupa wazo & tumeona pia katika collection ya Brandon Maxwell ameweka hizi rangi
Hizo ndizo trend tatu zilizo make headlines katika New York Fashion Week tutaendelea kukuletea nyingine tukizifuma
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 46114 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/new-york-fashion-week-street-style/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 66956 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/new-york-fashion-week-street-style/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/new-york-fashion-week-street-style/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/new-york-fashion-week-street-style/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/new-york-fashion-week-street-style/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/new-york-fashion-week-street-style/ […]