Nguva ni kiumbe kikongwe duniani ambacho habari zake zimeanza kusikika toka kwa mababu na mababu, ni kiumbe kiichisho baharini ambacho ni nusu samaki nusu binadamu.
Yaani mkia wa samaki lakini kiwili wili cha binadamu, wengi husema nguva ni mrembo na anae jipenda. wengine husema ni wapo wa kike na wakiume na wengine husema wapo wa kike tupu ndo maana wapo wa chache.
Kwa habari ambazo tumezisikia kuhusiana na nguva na picha zinazo chorwa kwa mfano wake, basi kwa wengi wetu tunao penda mitindo tukapata mpaka mishono inayo itwa nguva.
Lakini katika vichwa vyetu tukiwaza huwa tunawaza nguva atakua mweupe na mwenye nywele ndefu je umesha wahi kuwaza nguva mweusi? Sidhani lakini mani24 ame liwaza hilo na kwa utashi wake wa kupiga picha akaona si vibaya kama atatuonyesha mfano Nguva Mweusi.
picha zime pigwa na mani24tz unaweza kumfollow INSTAGRAM @mani24tz
make-up – Nidda
mavazi -Ashley
Related posts
8 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nguva-mweusi/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 34294 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nguva-mweusi/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 46825 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nguva-mweusi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nguva-mweusi/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nguva-mweusi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nguva-mweusi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nguva-mweusi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nguva-mweusi/ […]