Japo kuwa Nicki ame shushiwa diss track na Remmy Ma she seems un-bothered as she take Paris Fashion Week with style
Hizi picha mbili Nicki Minaj akiwa ame attend fashion show ya balmain, after party alivaa hii plack dress, na kaki boots
Katika Balmain fashion show nicki vowed on this little studded dress did you notice the shades? (miwani) I know right
Happa akiwa ame attend Rick Owens show in metallic dress,fur coat na black boots she had to be extra with the shades
hapa akiwa ame attend katika show ya H&M in bomber pink coat, alittle dress iliyo fungwa fundo, metalic boots iliyo endana na belt tumboni
outfit ipi ime kuvutia sana?
Tuambie
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 25419 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nicki-minaj-styles-on-paris-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 42510 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nicki-minaj-styles-on-paris-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nicki-minaj-styles-on-paris-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nicki-minaj-styles-on-paris-fashion-week/ […]