Tumemaliza long weekend in a fashionable way, Nigeria wana jitahidi sana katika matukio ya fashion kuanzia jersey ya team yao kufanya vizuri world cup, lakini pia jana kulikua na movie premiere ya Ocean 8 ambapo ndani yake wame act watu maarufu mbalimbali akiwepo mwanamuziki na muigizaji Rihanna.
Nigeria wao wameamua katika premiere hio theme yao iwe Met Gala, sote tunajua usiku wa Met Gala huwa na hekaheka kutokana theme zao tofauti tofauti, Nigeria wao waliamua kuwa hakuna theme zaidi ya Met Gala yaani Go Extra Or Go Home, unachagua theme yoyote kutoka katika Met Gala zilizopita well lets see ilikuwaje..
Wengi walichagua ya mwaka huu ambayo ilikuwa ni “Heavenly Bodies: Fashion and the Catholic Imagination” japo hawakwenda deep sana wengi walionekana kuvutiwa na zile head pieces zilizo onekana mwaka huu ambapo wengi walo walitumia halo spikes head pieces
Mbunifu na fashion influencer Bolaji Ayinde yeye alichagua kuvaa hii ball gown nyeusi yenye urembo wa kudarizi wa gold akiwa amemalizia na halo spike yake na clutch na saa, tukiongelea kuhusu gauni ni nzuri imeenda na theme ya mwaka jana, tumependa kwamba aliamua kuwa minimum na accessories na makeup maana gauni na halo spike yake vilisha kuwa a statement.
Muigizaji, Media Personality na muandishi Toke Makinwa yeye aliamua kuvaa all black alivaa a high & low sheer dress ambayo ilimkaa vyema na flower crown nyeusi, Vazi lake ni kutoka kwa mbunifu kutoka South Africaorapelengmodutle
Ini Dima-Okojie yeye alivaa a pink dress ambayo ilikuwa na ruffle, amemalizia na head piece yenye shades mbalimbali za pink tumependa gauni jinsi ame accessories na hii clutch na long earrings lakini hii head piece is not working to us, haijakaa vizuri kwa ajili ya red carpet au event kubwa kama hii, but the dress inakufanya usahau kuhusu hio head piece.
Osas Ighodaro Ajibade ni moja ya watu ambao tume penda mavazi yao as we said Met Gala ni event ambayo huwa ina theme tofauti tofauti na unatakiwa kuwa extra, Osas Ighodaro Ajibade did that katika hii gauni nyeusi ambayo ilikuwa na mkia wa tausi we love love this.
Nigerian plus size model Tajé Prest went chinese on us, alivaa hii kama dish dash dress ambayo ilikuwa na embroidered flower kwa mbele, ambazo mara nyingi tunaona wanavaa wachina na akamalizia na urembo wa kichwani ambao pia umeendana na theme ya gauni lake.
Muigizaji Jemima Osunde yeye alichagua kuvaa rangi ya njano, alivaa Gabrielle Union hii rangi na tukaambiwa its a catholic color, na halo spike yake ya gold. Gauni ilikuwa kawaida haina u-extra wowote lakini the head piece made a statement.
Ukiongelea heavenly body hii ni moja ya ambazo tuliona ina karibia, IDIA alivaa high low seuin dress kutoka kwa mbunifu @tojufoyeh , she looked good in this number ambapo kama wengine alimalizia na head piece.
Outift nyingine tulizo ziona ni kutoka kwa
Lilly Afe yeye alivaa gauni ya rangi ya chungwa na njano
Vimbai Mutinhiri yeye alivaa colorful dress ambayo ni red carpet appropriate, showing some major legs.
Layole Oyatogun tumependa hii gauni yake ipo creative, met gala appropiate
Omoni Oboli in a purple number,
Juliet Ibrahim
Baadhi ya theme’s za miaka ya hivi karibuni za met gala ni
2013: “Punk: Chaos to Couture”
2012: “Schiaparelli and Prada: Impossible Conversations”
2011: “Alexander McQueen: Savage Beauty”
2010: “American Woman: Fashioning a National Identity”
2009: “The Model As Muse: Embodying Fashion”
2008: “Superheroes: Fashion and Fantasy”
2007: “Poiret: King of Fashion”
2006: “AngloMania: Tradition and Transgression in British Fashion”
2005: “The House of Chanel”
2004: “Dangerous Liaisons: Fashion and Furniture in the 18th Century”
2003: “Goddess: The Classical Mode”
2002: No theme
2001: “Jacqueline Kennedy: The White House Years”
2000: No theme
1999: “Rock Style”
1998: “Cubism and Fashion”
1997: “Gianni Versace”
1996: “Christian Dior”
1995: “Haute Couture”
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nigerian-brought-the-met-gala-on-ocean-8-movie-premiere/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nigerian-brought-the-met-gala-on-ocean-8-movie-premiere/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nigerian-brought-the-met-gala-on-ocean-8-movie-premiere/ […]