SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nike Air Force 1 High Inavyo Trend Kwa Sasa
Mitindo

Nike Air Force 1 High Inavyo Trend Kwa Sasa 

Kiatu ni moja kati ya kiungo muhimu kabisa katika kukamilisha muonekano wa mavazi yako, na kuonyesha kwamba hiki kiungo ni muhimu basi kama ukikosea ukakipunguza muonekano wako mzima unaharibika.

Moja kati ya viatu vinavyopendwa Duniani ni Nike Air Force kutoka kwa Brand ya Nike, viatu hivi vilikuwa introduced in 1982 ambavyo vilibuniwa na mbunifu Bruce Kilgore. Zimekuwa kwenye soko since then na hazijwahi kushuka soko lake.

Huwa zinakuja na kupotea kwenye trend na kwa sasa zimeonekana kurudi kwenye trend, tumeona baadhi ya watu maarufu mbalimbali kutoka Nje na ndani ya Tanzania wakiwa wamevivaa.

Fashionista Lavidoz akiwa amevivalia vya kwake vya rangi nyeusi, nyeupe na nyekundu, Akiwa amemalizia muonekano wake na blue, jeans, graphic white tee, mkoba na accessories ndogo ndogo
Mwanamuziki Juma Jux yeye alituonyesha uwezo wake wa kuchanganya rangi , akiwa amevalia Nike air force zenye rangi ya kijani, orange na nyeupe amemalizia muonekano wake na suruali ya jeans ya blue, sweater la rangi ya orange akamalizia na Lv cross bag.
Mwingine ambae tumemuona amevalia hivi viatu ni mwanamuziki Vanessa Mdee, ambae yeye ali -pair her red, black & white Nike Air Force With All black Outfit.

Mtangazaji Perfect Crispin na yeye hajapitwa na trend ya viatu hivi.

Tuambie Je una pair ya hivi viatu na kama huna baada ya kuona vina trend unaweza kununua ukawa navyo?

Related posts