Tumepata maswali mengi ya nini cha kuvaa katika miaka 10 ya Ally Rehmtullah, well jibu ni kwamba vaa classy & fashionable maana ni kama birthday party ya Kampuni ya Ally kufikisha miaka 10 you don’t have to be extra kama unaenda kwenye Tuzo fulani wala hatutegemei magauni yenye mkia kiivyo kuwa simple yet classy & fashionable as event ni ya ki Fashioooon

High Slit dress zinaruhusiwa ila zisiwe na mkia

The Jumpsuit

 

 

Two pieces outfit

a little extra extra

matumaini yetu umepata idea kidogo.