SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nini Cha Kuvaa Katika Sinema Zetu Internationa Awards 2019
Mitindo

Nini Cha Kuvaa Katika Sinema Zetu Internationa Awards 2019 

Mwaka jana Sinema Zetu International Firm Festival zilianzishwa na theme ilikuwa mavazi ya kistaarabu, wengi walijitahidi lakini ni wachache sana ambao walitupa ile wow look, wengi wao walienda plain yaani as if ni msiba or something, mwaka huu theme ni ile ile na tumeona tuwape vidokezo vya nini unaweza kuvaa kama utaenda katika event hii.

Kistaarabu – hapa unaambiwa usivae vibaya kupitiliza mfano kuvaa vazi fupi kupitiliza au kuonyesha sehemu ambazo si vyema kuonyeshwa katika umati wa watu, lakini haimaanishi uwe plain and boring.

 • Fikiria Kuhusu Urefu Wa Vazi Lako – as theme inasema mavazi yawe ya kistaarabu unatakiwa kuvaa vazi ambalo unaona urefu wake utaringana na theme, by the way ni watu wachache sana wanao vaa nguo fupi red carpet.

 

 • Design ya vazi lako – as the theme goes ni kistaarabu usije kuvaa vazi ambalo design yake si ya kistaarabu mfano mzuri ni vazi alilovaa Faiza Ally katika red carpet ya Kilimanjaro Music Awards 2015, halikuwa la kistaarabu na sehemu nyingi ya maungo yake yalikuwa yanaonekana. Vaa something classy and stylish

 • Go boldĀ  – Kama red carpet nyingine ambavyo unatakiwa kuwa basi na hii unatakiwa kuwa hivyo hivyo, give us something to talk about, a tail, a bold color, a killer dress anything ambacho kita turn head we are here for it.
 • Hair and Makeup – nywele zako ziwe zimetengenezwa vizuri hakikisha zinaendana na vazi lako, kwenye red carpet we need to see the face & neck, upande wa makeup pia hakikisha inaendana na outfit
 • Shoes – kama outfit yako inahitaji statement shoes then go for them lakini pia hata kama haihitaji statement shoes basi vaa viatu vizuri na visafi, like don’t attend kwenye red carpet na viatu vinavumbi au stains

Well with that being said we cant wait to see how celebrities wetu wata dress siku hio.

Related posts

2 Comments

 1. go right here

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nini-cha-kuvaa-katika-sinema-zetu-internationa-awards-2019/ […]

 2. toronto weed delivery

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nini-cha-kuvaa-katika-sinema-zetu-internationa-awards-2019/ […]

Comments are closed.