SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nini Cha Kuvaa Katika Tanzania Fashion Festival “Summer Theme”
Mitindo

Nini Cha Kuvaa Katika Tanzania Fashion Festival “Summer Theme” 

Ni kama vile maombi ya kuwa na fashion events Tanzania yamesikika, tunasema amen to these events kwa kweli. Wengi walikuwa wanalalamika viwalo vipo ila hamna sehemu ya kuzivaa, well mmesikiwa na events ndio hizo zinajitokeza,

mtangazaji mkongwe kutoka East Africa Tv pamoja na baadhi ya makampuni wame organize hii event iliyopewa jina la Tanzania Fashion Festival ambayo inafanyika tarehe 29.9.2018 yaani jumamosi hii pale┬áDouble Tree By Hilton Masaki, Theme ya event ni “summer” itakuwa outdoor event na kutakuwa na fashion show, muziki,┬ámuziki, dansi, na appearance kutoka kwa mastaa wakubwa. Well as fashion ambassador tukaona sio mbaya tukiwaelewesha maana ya theme na nini ambacho unaweza kuvaa siku hio.

“Summer” kwa kiswahili ni majira ya joto au “Kiangazi” kipindi hiki watu wengi tunavaa less clothes yaani ni kujiachia na min skirts, pants, min dresses, vest etc, kwahio kama unaenda kwenye event hii kaa nazo hizo kichwani.

Ukiachana na Theme unacho takiwa kujua event ni ya fashion hio miziki na dansi ni viongezeo tu so you need to fashionable lakini pia u-meet hizo factor nyingine za dansi na muziki, hatukutegemei uje na nguva au Cinderella dress hapo, itakuwa dhambi ya fashion.

Well nini ambacho unaweza kuvaa?

Get stylish with your outfits, kama muse wetu hapo amevaa tee- high waist trouser kamalizia na ankle boots na beret na miwani, definitely a summer vibe with fashionable touch’s

 

Crop top & skirt unaweza kuvaa crop top iwe na skirt, suruali, pants anything iweke tu iwe more of event na stylish.

Kama upo vizuri katika kupangilia rangi na prints then usiziache nyuma as we all know summer is colorful.

Kama ungependa kuwa covered up unaweza vaa jumpsuit, au styling a summer dress in a most casual way possible.

Hot pants with heels

 

Two pieces

Shirt dress

Related posts

2 Comments

  1. important link

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nini-cha-kuvaa-katika-tanzania-fashion-festival-summer-theme/ […]

  2. Buy Albino Penis Envy Mushrooms For sale New South Wales

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nini-cha-kuvaa-katika-tanzania-fashion-festival-summer-theme/ […]

Comments are closed.